Erick Kabendera: Mwendazake aliendesha genge la wahuni na alikusudia kumkamata Rais Mstaafu Kikwete

I just ask my self what If u keep silence? And let it go? Well umesema sasa na unaye mtuhumu ni marehemu what u expect? Vijana mihemko, pesa za faster na umaarufu itatutesa sana. Well je kwa sheria ghani maana mnaenda ku bip kwenye mzinga wa nyuki na nyuki ni wakali oh God. Unasema kikosi maalumu cha Rais je wajuwa hicho kikosi kinaundwa na watu gani kutoka taasisi gani? Je unajuwa is the same idara same people wanapeleka files kwa mama sasa? Well haya
 
Kwa hiyo nchi hii ni ya Kikwete?Kikwete mwenyewe wa hovyo hovyo.Anawaza kupiga picha na LIANA.Mungu atafanya maajabu tutapata mtu Kama JPM soon.Wahuni na vilaza wote tutawateketeza
Labda MUNGU awe dead ndio litokee JIWE jingine
 
Mmeamua kupigana na kaburi hata hivyo litawapiga chini!! Ni aibu kumwandama marehemu!!
Aibu kivipi? Hatumsomi HITLER! Benito musolin,bokasa, magufuli?
Jiuaji lile lililojifanya msema kweli kipenzi cha mungu?
JAMAN TUIMBENI MAPAMBIO MUNGU WA MBINGUNI AMEJITUKUZA TANZANIA 17 MACHI 2021
 
Naona marehemu amekamiwa Sana ha ha aaaaa vijana tuna hasira haha haaa ...
Sijawahi kuona marehemu akipigwa mawe hivi...
Huyu marehemu alijigeuza MUNGU ndio kosa lake?
Mjinga yule alitembea mpaka na ndugu za mkewe...
 
Politics of blabla maana waswahili wanaasema mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
 
Unasema kikosi maalumu cha Rais je wajuwa hicho kikosi kinaundwa na watu gani kutoka taasisi gani? Je unajuwa is the same idara same people wanapeleka files kwa mama sasa? Well haya
Acha uoga. Maandishi yako yamejaa uwoga wa kufa mtu.

Kwa uwoga wako huu namtisha nani Sasa?
 
Mtoa uzi acha unafiki.

Sijajua lengo lako ni nn,ulikuwa wapi kutoa hiz shutuma kama una ushahidi wa kutosha.
May be na ww ndo ulikuwa mmojawapo mliozibiwa mirija ya wizi?Nyie ndo kwa sasa mna kula asali ya nchi kirahisi

Tutaamini vp.acha kutuaminisha propaganda..

Kwa sasa mnatakiwa kufidia tu maumivu mlioyo ya pata ndan ya 4yrs.
 
Sexless ni mwananchi wa kawaida tu lakini ninakuahidi mwisho wako utakuwa wa mbaya sana.
Kwa kipi? Mama hataki mambo ya kuua, kuteka na kupora. Hiyo tabia alikufa nayo jiwe. Endelea kuakriri.
 
Tulishuhudia "shetani katika kiwiliwili cha binaadam".

Huyo hakuwa binaadam wa kawaida.

Mbowe ashukuru sana, wakati huu angekuwa katika hali tofauti kabisa.
 
Mihujumu,mibinafsi, mijizi, mifisadi michumia tumbo. Tuipige Vita Kama hili.
 

Umesoma vizuri ukaelewa?Unapoambiwa aliunga genge nje ya mfumo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…