Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Ni baada ya twit za ndugu mwandishi Kabendera kuandika Kwa kifupi tu kudai kuwa JPM aliendesha Genge la wahuni kutaka kumkamata Mh rais mstaafu JK
Je, ni kosa lipi mpaka mh mstaafu rais JK atake akamatwe na genge ovu la mwendazake?
Nauliza tuu
Kawaida yetu sisi watanzani, tumekuwa na kawaida ya ufuasi wa vyama na ufuasi wa watu ndani ya chama, ila inapotokea kiongozi mmoja wapo analengo baya juu ya kiongozi mwingine tena bila kosa lolote la kueleweka, hatwezi kuendelea kumlea, ni lazima tumlaani Kwa sauti zetu zote na Kwa Mungu pia
Sasa ni vema kama kumekuwepo tuhuma nzito kama hiyo juu ya kiongozi mwingine kutaka kumdhuru kiongozi mwingine
Basi ni vema tukapewa pia sababu isiyotia Mashaka juu ya hilo,
Kwa nini Mstaafu alitaka akamatwe?