Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hio mnatakaje haya sasa nendeni chato mkachimbue kaburi, acheni undeni kivuli kinawatoa knockout. tafuteni pesa hamna pesa mnabwata, pambana tafuteni pesa. wanaowatuma wana pesa kama sisi, acheni kubwata, kubweka na kubwaka.Umesoma vizuri ukaelewa?Unapoambiwa aliunga genge nje ya mfumo
Mpumbavu hawezi kuuficha upumbavu wake kwa sababu umeenea mwili mzima.Ficha upumbavu wako wewe. Yule fedhuli tutamsema tu. Unadhani Kabendera kakurupuka kupost? Kama ulimsikiliza JK kwenye birthday yake utaelewa hata yeye alikuwa anakerwa na udhalimu wa mwendakuzimu hasa kwenye kutaka kubadilisha katiba kihuni.
Hivi huyu mama yupo kweli? Mwenye namba yake anitumie PM basi!Mama janet akiyasikia haya huko alipo sijui anajisikiaje
Dah.. sijui ilikuwaje Tz ikaongozwa na huyu mwehu..!!Duh!
Ndio maana alisema kuna wastaafu wanawashwawashwa.
Huyu Bwana alikuwa ni mtu hatari sana!
Ukiangalia ile picha aliyokuwa amepiga magoti akiomba kura kwenye kampeni za 2020, unaweza hata kumuonea huruma na ukapata picha kuwa ni mtu mpole na humble, kumbe ni kinyume chake kabisa!
Niliwahi sema humu na leo narudia: Mwendazake alikuwa na kipaji kikubwa sana cha uigizaji, sema tu hakuingia kwenye hiyo sanaa ange-fit zaidi huko.
Mwamedi alitekwa Oyster bay huko sio karibu na IkuluNgoma ndio Kwanza inaanza kupigwa....
Naamini ipo siku Mwamedi atasema tu ilikuwaje Hadi akatekwa Karibu na Ikulu...Time will Tell
Ndio maana unaambiwa time will tellungesema angali akiwa hai,
weee, roho ingeacha mwiliungesema angali akiwa hai,
Na wewe lete ushahidi kuwa alipewa midola na mabeberuSawaa sisi sio watoto wadogo
Hatuhitaji propaganda
Let ushaidi
Wewe hizo midolaa uliokuwa unapewa na mabeberu za kazi ganii.
Tuanze hapo tujibu ,sema zilikuwa za nini ,kwanini wakupe wewe.
Maana ushaidi upo
Ulikiri makosa na ukalipa uliufutiwe kesiii
Povu Ruksa tutoe ushaidi
Hautaambiwa popote lakini alifariki tarehe 9 March, na hapo michakato ya kumrithi ilianza.Ile 17th March, kwangu ilikuwa usiku wa furaha sana, taarifa nimezipata kwenyw basi nikijisogeza Mafinga
Washirika wake wapo waliokuwa wakitumiwa km ni kweli lknSasa hayupo na hawezi chunguzwa, Saa 100 mwenyewe lazima alishiriki mambo yanayosemwa mfano ununuzi wa ndege nk
Haina maana kwa sasa,na viongozi wa sasa ni kama mwendazake tu ndio maana waliimba ccm ni ile ile
Alikuwa anajidai ansijua Forse Account, kumbe kichea kitupu kabisa.Mwendakuzimu kaua mpaka sekta ya ujenzi , makampuni mengi ya ukandarasi na uhandisi WA masuala ya ujenzi zilikufa kibudu na hizo chache zilizobaki zinachechemea mpaka leo ,ule upuuz wake WA force account
Sijamtuhumu mtuu ,kama nilipewa za uso wala mimi niko kimye tajiriNa wewe lete ushahidi kuwa alipewa midola na mabeberu
Ficha upumbavu wako wewe. Yule fedhuli tutamsema tu. Unadhani Kabendera kakurupuka kupost? Kama ulimsikiliza JK kwenye birthday yake utaelewa hata yeye alikuwa anakerwa na udhalimu wa mwendakuzimu hasa kwenye kutaka kubadilisha katiba kihuni.
Toa upumbav hapa ,huyo Rais na wajinga wenzake si kaajiliwa na wananchi ? ,wanakula na kuishi Kwa Kodi za wananchi ,hii Tabia ya kijinga Sana kuwaona hao vibwengo kama miungu watu ni dalili ya upungufu WA akili timamu .Sasa kama walikuwa hawataki kusemwa wala kukosolewa hivyo vyeo waligombea vya nini ? ,wengine mpaka wanaenda kulala Kwa waganga wa kienyeji na kutembea nao ili wapate hivyo vyeo vya kisiasa .
Mkuu lazima uelewe kuwa sheria mama, regardless of your power, inasema ukiua kwa upanga, utakufa kwa upanga.I just ask my self what If u keep silence? And let it go? Well umesema sasa na unaye mtuhumu ni marehemu what u expect? Vijana mihemko, pesa za faster na umaarufu itatutesa sana. Well je kwa sheria ghani maana mnaenda ku bip kwenye mzinga wa nyuki na nyuki ni wakali oh God. Unasema kikosi maalumu cha Rais je wajuwa hicho kikosi kinaundwa na watu gani kutoka taasisi gani? Je unajuwa is the same idara same people wanapeleka files kwa mama sasa? Well haya