Erick Kabendera: Mwendazake aliendesha genge la wahuni na alikusudia kumkamata Rais Mstaafu Kikwete

Unajua mgombea wao ni dhahiri hatoshi...kivuli cha Msgufuli kinawatesa...

Hii ni propaganda...Kabendera I sympathise with kwa yaliyokukuta...uliyataka mwenyewe...Acha kutumika kisiasa...Apumzike kwa amani

Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza
 
Ushahidi wa kusindikizwa na wengi una utata sana, Wakati mwingine watu wanakuja kuthibitisha tu kama kweli kafa
 
Ushahidi wa kusindikizwa na wengi una utata sana, Wakati mwingine watu wanakuja kuthibitisha tu kama kweli kafa
Huwa nakuona mtu mzima mwenye kujielewa lakini haya maandishi yako ni tofauti kabisa na imani yangu kwako.

Haiwezekani watu zaidi ya milioni moja wakajitokeza pembeni ya barabara ili wahakikishe kwamba umekufa, ni kielelezo cha marehemu kuyagusa maisha yao wakati wa uhai waoke.
 
Hata mamba mla mifugo akifa watu wanajaa ili kuthibitisha kama kweli kafa, huyo naye anapendwa?
 
Aisee
 
Magufuli alistahili kufa. Alikuwa na roho mbaya sana
 
Stori za vichochoroni hizi
 
Hata mamba mla mifugo akifa watu wanajaa ili kuthibitisha kama kweli kafa, huyo naye anapendwa?
Magu alipendwa sana, alikuwa shujaa tofauti na wanasiasa wa miaka ya sasa, wewe huwezi kuliona hilo kwa sababu ya uchawa wako kwa Mbowe.

Magu angeendelea kuwepo kwa miaka yake minne aliyobakiza tungekuwa mbali zaidi. Hana hulka za kisiasa, yeye ni mtu wa kazi muda wote.
 
Kumuua Lissu, kuteka MO na wengine na kutukana Waliomuweka Madarakani ilikuwa sehemu ya kupendwa na raia?
 
Erick,
Mienendo yako pia ilitiliwa shaka sana
  • Ulitakatisha fedha;
  • Ulipata cash toka nje;
  • Ulikubali kuwa kuli.
 
Weka ushahidi wenye kujitosheleza sio kuleta ngonjera za kwenye viti virefu vya Bar. Lissu kichwa yake mbovu, Mo na wengine ni dhuluma za kwenye biashara za kitajiri.
Kumtetea Magufuli unapaswa kuwa mjinga kuliko hata ujinga wenyewe
 
Kumtetea Magufuli unapaswa kuwa mjinga kuliko hata ujinga wenyewe
Wewe ndio huna akili, JPM kafanya vitu vinavyojitetea vyenyewe bila hata kuhitaji utetezi wa mtu yoyote.

SGR inamalizika muda huu. Ndege aliacha 12 zinafanya biashara. Madaraja na barabara ndio usiseme. REA inaifungua Tanzania kwenye suala la umeme.

Mengi sana alifanya JPM na yanaendelea kumtetea huko alipolala.
 
Kiongozi anayepora hela za watu hafai, na anapoua wanaompiga anageuka Shetani
 
Magufuli alistahili kufa. Alikuwa na roho mbaya sana
Unavyopayuka utafikiri wewe utaishi milele, na wakati utakufa mwezi ujao tu hapa na kila mtu atakusahau akiwemo baba ako.
 
Achana nae huyo mskule wa vibaraka(lisu na zitto) hakuna jema aliloliona kwa Jpm sababu Magu alijua kuwabana mabwana zake waliothubutu kulisaliti taifa.

Sasa hivi hapo bado yuko traumatized, yeye na mabwana zake akina Zitto bado wanaumizwa na Magu licha ya kutokuwepo kwake na ndio maana kila anapotajwa Jpm anahemkwa.
 
Mkuu habari za Geita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…