Erick Kabendera: Mwendazake aliendesha genge la wahuni na alikusudia kumkamata Rais Mstaafu Kikwete

View attachment 2386088
Legacy inazidi kuzamishwa chini zaidi. Mwendazake alikuwa wa hovyo sana
Huu uzi uliletwa na kuondolewa haraka ! Tumshukuru Allah kwamba umerejeshwa .

Magufuli japo amekufa lakini hakuwa peke yake kwenye unyama huu , Je alishirikiana na akina nani , wako wapi na kwanini wasikamatwe na kuhukumiwa kwa ushiriki wao kwenye kikosi cha mauaji cha kishetani ?
 
Mnyonge hutaki kulipa kodi ila Unataka serikali ikulipie ada wanao?
Kwanza nitake radhi kaka,mimi sio mnyonge,pili, mimi sijawahi kusoma shule ya serikali wala wanangu hawatosoma huko, tatu,hakuna mtu anakataa kulipa kodi ila tatizo hizi tozo zinqturudishq nyuma sisi

Huenda wewe una pesa ila mimi tozo kwangu ni gharama sana,juzi nilikuwa sehemu wakati nalipa bill nilikatwa 3000 ,hiyo ni lipa namba ya Halotel,na bidhaa niliyolipia ina thamani ya 15000
 

Kupewa hela na wazungu hata serikali wanapewa sana, wao wanapewa za nini? Haya wanayosema akina Kabendera ni ukweli usioacha shaka yoyote kuwa tulikuwa na kiongozi mumiani. Tena hayo wanayosema ni machache, ila dhalimu aliendesha unyama mwingi sana.
 
View attachment 2386088
Legacy inazidi kuzamishwa chini zaidi. Mwendazake alikuwa wa hovyo sana

Kabendera akumbuke hayuko juu ya sheria. Kumsema vibaya kwa tuhuma kama hizi ni kosa kisheria. Hapo haichukuliwi kwsmba anamsema JPM, bali anaisema taasisi ya urais na serikali kwa ujumla ambayo mpaka sasa inaongoza nchi.
 
Ulitumia Mb kwa raha kupitia vpn?gwa nyoko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…