Erick Mwijage alimwambia Djigui Diarra upande atakaopiga penati katika mchezo wa Yanga na Kagera sugar jana

Wakati wa penati kipa anatakiwa kuwa wapi? Kwanini aliendelea kuinama pale wakati tayari mchezaji wa kagera alishauwahi mpira?
Jibu swali kama nilivyokuuliza. Hilo ulichokisema wewe tunakuja kuliuliza baada ya kunijibu swali langu. Je wakati Diarra anatoka golini je mpira ulikuwa upo chini au ulikuwa umeshikiliwa na mchezaji wa Kagera?

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Haya maelezo yako hapa ni aibu tupu. Pale hakwenda kujadili bali aliinama ili aambiwe upande. Majadiliano yalishafanyika kabla ya mchezo.

Wewe huoni kwamba kilichotokea pale ni kitu cha ajabu sana? Yaani mpira awe nao mchezaji wa kagera lakini Diarra ainame palepale.
Msimu uliopita Simba kakosa penalties 5 kulikua na majadiliano?
 
Jibu swali kama nilivyokuuliza. Hilo ulichokisema wewe tunakuja kuliuliza baada ya kunijibu swali langu. Je wakati Diarra anatoka golini je mpira ulikuwa upo chini au ulikuwa umeshikiliwa na mchezaji wa Kagera?

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Mpira lazima uwe chini ulitaka uwe wapi?
 
Mpira ulivyokuwa chini, kuna kiashiria chochote ambacho wewe mwenzetu umekiona kilichoonesha Diarra kaongea kitu kwa mpiga penati? (Tokea anatokea golini kwake hadi kuwa karibu na mpigaji wa penati)

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Mpira ulivyokuwa chini, kuna kiashiria chochote ambacho wewe mwenzetu umekiona kilichoonesha Diarra kaongea kitu kwa mpiga penati? (Tokea anatokea golini kwake hadi kuwa karibu na mpigaji wa penati)

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Alimwambia, "your left below" pale alipofika na kuinama.
 
Back
Top Bottom