Erick Mwijage alimwambia Djigui Diarra upande atakaopiga penati katika mchezo wa Yanga na Kagera sugar jana

Erick Mwijage alimwambia Djigui Diarra upande atakaopiga penati katika mchezo wa Yanga na Kagera sugar jana

Wala haikuwa lugha ya kukera. Ilikuwa ni lugha sahihi kabisa. Siku zote wazazi hujivunia kuwa na watoto werevu, na siyo watoto wenye akili za kipopoma kama hizi za kwako!

Na ni watu wapumbavu pekee ndiyo wataamini hicho ulicho kielezea hapo juu.
Leo kwa mara ya kwanza nimeona hauja-italize maandishi mkuu, 😂
 
Ushahidi wa picha unaonesha Diarra akienda na kuinama kisha Mwijage naye akainama pale wakanong'onezana.

Diarra alipangua penati ile nyepesi.


View attachment 2416539
Akili za wapi hizi? Toka lini maneno au kauli zikathibitishwa kwa picha? Halafu unajisifu kabisa eti ushahidi wa picha. Kupenda timu kunawafanya watu wajitoe akili kiasi hiki
 
Ukiona mtu anatafuta mchawi wa kushindwa kwake badala ya kujitathmini yeye mwenyewe ujue huyo ndio ameshakwisha kabisa
 
Jibu swali kama nilivyokuuliza. Hilo ulichokisema wewe tunakuja kuliuliza baada ya kunijibu swali langu. Je wakati Diarra anatoka golini je mpira ulikuwa upo chini au ulikuwa umeshikiliwa na mchezaji wa Kagera?

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Mkuu changaule kwanini uendelee kupoteza muda kumuelewesha mtu ambaye anafanya kusudi kutaka kuaminisha umma kua Erick Mwijage alikosa ile penalty kimakusudi?.

Kwani hizi Propaganda wameanza leo?.

Mwaka jana walikua wanasema kua Young Africans wananua mechi kupitia bahasha lakini hadi kufikia mwisho wa msimu wao wenyewe wakakiri kua timu yao ni mbovu.

Mwaka huu baada ya kuona gape la points kuongezeka kati yetu na wao tayari washaanza kushikana uchawi wao wenyewe na wengine wakienda mbali kwa kumshutumu Mwenyekiti wao Murtaza na wengine wakilalamika kua Juma Mgunda hatoshi.
 
Haya maelezo yako hapa ni aibu tupu. Pale hakwenda kujadili bali aliinama ili aambiwe upande. Majadiliano yalishafanyika kabla ya mchezo.

Wewe huoni kwamba kilichotokea pale ni kitu cha ajabu sana?

Yaani mpira awe nao mchezaji wa kagera lakini Diarra ainame palepale.
Hivi unatesekea wapi?
 
Tatizo mashabiki hawajui mpira wa miguu Ni mchezo katili sana......Kama una roho nyepesi stay at home...itakuja kufa buree.....Mimi mpinzani akifanya vizuri nampongeza,kudhihaki Ni udhaifu,la msingi Ni Mimi kujipanga nicheze vizuri mechi zang nishinde...hii ya kumwombea adui njaa hapana kwa kweli hapana itokee tu automatically sio Mimi kulazimisha

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom