Erick Mwijage alimwambia Djigui Diarra upande atakaopiga penati katika mchezo wa Yanga na Kagera sugar jana

Erick Mwijage alimwambia Djigui Diarra upande atakaopiga penati katika mchezo wa Yanga na Kagera sugar jana

Ushahidi wa picha unaonesha Diarra akienda na kuinama kisha Mwijage naye akainama pale wakanong'onezana.

Diarra alipangua penati ile nyepesi.


View attachment 2416539
2756823_JamiiForums-1851313687.gif
 
Sidhani kama ni kweli ila kwa kipa mwenye uwezo kama diarra ile penati ni nyepesi sana coz alioneshwa wazi na mpigaji kuwa anapiga kulia
Afadhali mkuu umeongea uhalisia. Walipeana taarifa iende upande upi.
 
Ufikie wakati tukue kiakili ya ushabiki sio kuleta hisia za kishabiki. Haya embu leta clip ikionesha mdomo wa Diarra ukiwa unacheza cheza hapo alipokuwa ameinama. Tusiende mbali kuwa kaongea nini bali tuone tu kama kuna maneno kayaongea.

Mimi nimeitaza hiyo kipande ni kwamba Diarra alitoka golini kwake kwa lengo la kuuchukua mpira aushike shike nadhani tunaona ni tabia za makipa wengi tu, ikitokea penati huwa wanajisikia raha kwenda kuuchukua mpira na kuumbatia au kuushika shika. Bila shaka lengo ni kuutoa hofu kwake na kumtisha mpinzani anayepiga penati

Saaa Diarra alienda kwa hilo lengo ila mchezaji wa Kagera akauwahi kuukamata ule mpira, Diarra akabakia kuinama. Kuinama kati ya Diarra na mchezaji wa Kagera haikufukisha hata sekunde tano hivyo hakukuwa na majadiliano yoyote ila Diarra ndiye aliyeinama kwa muda mrefu. Imetokea coincidence ya wote kuonekana wameinama kwavile lengo la Diarra limestukiwa na mchezaji wa Kagera.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Unayehangaika na hawa Mazuzu ni wewe tu.
 
Nimeanza kuelewa kwann ambangire anapenda kuchambua mpira wa ulaya na sio huu ujinga wa simba na yanga ...
 
Haya maelezo yako hapa ni aibu tupu. Pale hakwenda kujadili bali aliinama ili aambiwe upande. Majadiliano yalishafanyika kabla ya mchezo.

Wewe huoni kwamba kilichotokea pale ni kitu cha ajabu sana?

Yaani mpira awe nao mchezaji wa kagera lakini Diarra ainame palepale.
Itakua wakati mwameja anadaka pale Simba ulikua kwenye korodani za mzee wako
 
Wanasimba daini uchaguzi wa timu lenu, acheni ujinga
 
Back
Top Bottom