ESCROW: Jaji Werema ametangulia mbele za haki David Kafulila anakumbukwa kwa ushujaa aliounesha?

Kafulila ndio Rais nakubali
 
Wapambanaji wa rushwa na Ufisadi Nchi hii huwa wanapigwa vita sana na huwa hawapati sapoti yeyote kutoka kwa hao wanaopambaniwa!

Tena si ajabu hao hao wanaopambaniwa ndio wakatumwa waje wakunyamazishe kwa maumivu kiaina aina kwa kupewa ujira mdogo tu !!
Bure kabisa. !
 
Sema umesahau huyu kijana alibatizwa jina la Tumbili.... 🤣
 
Sawa
 
Kafulila ni mwamba kitambo
 
Kafulila aandaliwe tuzo kama kumbukumbu ya alichokifanya 2014
 
Kwa kipindi hiki mimi nimeshabadilsha mtizamo kuhusiana na scandals hizi; yaweza kuwa hata ESCROW nayo pia yalikuwa ni makinikia mengine tu katika muundo ambao hatukufanikiwa kuyabaini kuwa yalikuwa makinikia kwa wakati huo

Hasa nimepata mtizamo huu baada ya kuwa nimejjiridhisha pasipo shaka kabisa kuwa RICHMOND yalikuwa ni makinikia ambayo yalikusudiwa kuwa-destabilize viongozi wakubwa wa nchi ili kuvuruga miradi mikubwa ya maendeleo waliyokuwa wakiifanya kipindi hicho

Hata ESCROW yaweza pia kuwa yalikuwa ni makinikia yaliyokuwa yemefichwa ndani ya gunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…