- Thread starter
- #101
Kafanyaje?Wenje ni muhuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafanyaje?Wenje ni muhuni
View attachment 3188723
View: https://youtu.be/WtR-R6t4_3I?si=GFTUg2eeFWxevoBn
Roho ya Marehemu ipate rehema kwa Mungu na ipumzike kwa amani -AMINA
Leo mara baada ya kupata taarifa za kifo cha aliyewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya awamu ya nne (4) chini ya Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Mhe Jaji Frederick Werema,
Haraka nikamkumbuka aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini Mhe David Zacharia Kafulila namna walivyo pambana Bungeni Jaji Werema akiitetea Serikali dhidi Kafulila aliyekuwa akiwatetea Wananchi katika kashfa ya uchotaji wa pesa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow zaidi TZS221 bilioni.
Sitaki kurejea sakati lile, Ila..
Shujaa David Kafulila pamoja na mapambano yale yote bahati mbaya shujaa huyu hakuwahi kutambuliwa popote Tanzania ( Officially) kama shujaa wa mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi zaidi ya watu kupambana kuhakikisha harudi tena Bungeni kabla na baada ya 2015.
Kifo cha Jaji Frederick Werema kinaturejesha na kutukumbusha kusahaulika kabisa kwa David Kafulila kwenye medani za siasa za kupamba na rushwa na ufisadi huenda hii ikawa ni ishara ya nchi yetu kuchukia wanaochukia rushwa na Ufisadi kwa moyo na nguvu zao zote aina ya David Kafulila.
Swali, Je, Leo hii kwanini hakuna tena akina Kafulila wengine Bungeni?
Soma pia AG Jaji Werema: Kafulila aliniita mwizi nikamwita "tumbili"
Mwaka 2030 kama maamuzi yangekuwa ni yangu basi David Kafulila ningemkabidhi Urais wa JMT mara baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumaliza muda wake ili apambane na rushwa na Ufisadi ulioota madevu na masharubu.
Je, ni wangapi mnawaza kama Mimi kuhusu Urais na Kafulila?
Mungu ibariki Tanzania,
View: https://youtu.be/Qg5dWRyjVOE?si=ako4Bhu7IRztYfv_
Huyu ni mshamba tu JescaKama mke wa Kafulila anayelala nae kitanda kimoja huku akimkuna kitambi hana imani na Kafulila na anamuona ni mwanasiasa asiye na msimamo wewe chawa utatuambia nini?View attachment 3188727
Kwani wewe wasi wasi wako ni Upi?Yaani kweli unaona Kafulila ana kifua cha kufanya hayo ... kweli Duniani kuna Mambo!!
Hadi CHADEMA mnamkubali Kafulila Hongera nyingi kwenuKafulila ndio Rais nakubali
Ila wabongo wanavisa sanaWewe zoba sana kama sio raia wa Tanzania ni Raia wa wapi?
View attachment 3188723
View: https://youtu.be/WtR-R6t4_3I?si=GFTUg2eeFWxevoBn
Roho ya Marehemu ipate rehema kwa Mungu na ipumzike kwa amani -AMINA
Leo mara baada ya kupata taarifa za kifo cha aliyewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya awamu ya nne (4) chini ya Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Mhe Jaji Frederick Werema,
Haraka nikamkumbuka aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini Mhe David Zacharia Kafulila namna walivyo pambana Bungeni Jaji Werema akiitetea Serikali dhidi Kafulila aliyekuwa akiwatetea Wananchi katika kashfa ya uchotaji wa pesa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow zaidi TZS221 bilioni.
Sitaki kurejea sakati lile, Ila..
Shujaa David Kafulila pamoja na mapambano yale yote bahati mbaya shujaa huyu hakuwahi kutambuliwa popote Tanzania ( Officially) kama shujaa wa mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi zaidi ya watu kupambana kuhakikisha harudi tena Bungeni kabla na baada ya 2015.
Kifo cha Jaji Frederick Werema kinaturejesha na kutukumbusha kusahaulika kabisa kwa David Kafulila kwenye medani za siasa za kupamba na rushwa na ufisadi huenda hii ikawa ni ishara ya nchi yetu kuchukia wanaochukia rushwa na Ufisadi kwa moyo na nguvu zao zote aina ya David Kafulila.
Swali, Je, Leo hii kwanini hakuna tena akina Kafulila wengine Bungeni?
Soma pia AG Jaji Werema: Kafulila aliniita mwizi nikamwita "tumbili"
Mwaka 2030 kama maamuzi yangekuwa ni yangu basi David Kafulila ningemkabidhi Urais wa JMT mara baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumaliza muda wake ili apambane na rushwa na Ufisadi ulioota madevu na masharubu.
Je, ni wangapi mnawaza kama Mimi kuhusu Urais na Kafulila?
Mungu ibariki Tanzania,
View: https://youtu.be/Qg5dWRyjVOE?si=ako4Bhu7IRztYfv_
Pesa ya dhuluma ukiwaachia watoto ujue umewaachia MAJANGA tu 😳 !na ile escrow aliweka mfukoni 6billion kodi za watanzania, wenzie walirudisha yeye na chenge waligoma. sasaivi watoto wake ndio wanafaidi.
Nakubaliana na weweKamdalalia nani?
Kafulila ndio The nxt presidaaa
View attachment 3188723
View: https://youtu.be/WtR-R6t4_3I?si=GFTUg2eeFWxevoBn
Roho ya Marehemu ipate rehema kwa Mungu na ipumzike kwa amani -AMINA
Leo mara baada ya kupata taarifa za kifo cha aliyewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya awamu ya nne (4) chini ya Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Mhe Jaji Frederick Werema,
Haraka nikamkumbuka aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini Mhe David Zacharia Kafulila namna walivyo pambana Bungeni Jaji Werema akiitetea Serikali dhidi Kafulila aliyekuwa akiwatetea Wananchi katika kashfa ya uchotaji wa pesa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow zaidi TZS221 bilioni.
Sitaki kurejea sakati lile, Ila..
Shujaa David Kafulila pamoja na mapambano yale yote bahati mbaya shujaa huyu hakuwahi kutambuliwa popote Tanzania ( Officially) kama shujaa wa mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi zaidi ya watu kupambana kuhakikisha harudi tena Bungeni kabla na baada ya 2015.
Kifo cha Jaji Frederick Werema kinaturejesha na kutukumbusha kusahaulika kabisa kwa David Kafulila kwenye medani za siasa za kupamba na rushwa na ufisadi huenda hii ikawa ni ishara ya nchi yetu kuchukia wanaochukia rushwa na Ufisadi kwa moyo na nguvu zao zote aina ya David Kafulila.
Swali, Je, Leo hii kwanini hakuna tena akina Kafulila wengine Bungeni?
Soma pia AG Jaji Werema: Kafulila aliniita mwizi nikamwita "tumbili"
Mwaka 2030 kama maamuzi yangekuwa ni yangu basi David Kafulila ningemkabidhi Urais wa JMT mara baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumaliza muda wake ili apambane na rushwa na Ufisadi ulioota madevu na masharubu.
Je, ni wangapi mnawaza kama Mimi kuhusu Urais na Kafulila?
Mungu ibariki Tanzania,
View: https://youtu.be/Qg5dWRyjVOE?si=ako4Bhu7IRztYfv_
Wewe ni shasha tuuKama mke wa Kafulila anayelala nae kitanda kimoja huku akimkuna kitambi hana imani na Kafulila na anamuona ni mwanasiasa asiye na msimamo wewe chawa utatuambia nini?View attachment 3188727
Nitolee ufa.la wako.Wewe ni shasha tuu

Wewe ni Jesca 😂😂Kama mke wa Kafulila anayelala nae kitanda kimoja huku akimkuna kitambi hana imani na Kafulila na anamuona ni mwanasiasa asiye na msimamo wewe chawa utatuambia nini?View attachment 3188727
Nimeota Kawa kiongozi mkubwa wa Taifa sijui kama ni ndoto ya KweliKafulila Muha wa Kigoma Uvinza