Esta Bulaya atahudhuria kikao Cha kuvunja bunge August 3 kama Mbunge wa chama Gani?

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
5,503
Reaction score
15,858
Wakuu ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Taifa letu Sasa limekuwa kituko tena kituko haswa kwa haya yanayoendelea. Sasa huyu Esta Bulaya atahudhuria kikao Cha kuvunja bunge August 3 kama mwanachama wa chama Gani? Haya ni maajabu.
 
Aliyekwambia kuna kikao cha kuvunja Bunge tarehe 3/8/2025 nani?
 
Wakuu ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Taifa letu Sasa limekuwa kituko tena kituko haswa kwa haya yanayoendelea. Sasa huyu Esta Bulaya atahudhuria kikao Cha kuvunja bunge August 3 kama mwanachama wa chama Gani? Haya ni maajabu.
Hakuna kikao kitakachofanyika tena ila siku hiyo litatolewa tangazo kwenye gazeti la serikali kwamba bunge limevunjwa rasmi
 
Ni swali sahii kwenye jamii inayoweza kujitungia sheria na kuziheshimu. Ila ni swali la ovyo kwa jamii isiyoweza kuheshimu sheria ilizojitungia yenyewe.
 
Wa
Wakuu ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Taifa letu Sasa limekuwa kituko tena kituko haswa kwa haya yanayoendelea. Sasa huyu Esta Bulaya atahudhuria kikao Cha kuvunja bunge August 3 kama mwanachama wa chama Gani? Haya ni maajabu.
Nadhani
Wabunge hawatarudi tena bungeni ...
Shughuli za Bunge ikiwa na Maana Mawaziri hiyo Augut 3 ndo hawatakua na tittle ya kuitwa mawaziri na hawatafanya kazi kama mawaziri .
 
Wakuu ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Taifa letu Sasa limekuwa kituko tena kituko haswa kwa haya yanayoendelea. Sasa huyu Esta Bulaya atahudhuria kikao Cha kuvunja bunge August 3 kama mwanachama wa chama Gani? Haya ni maajabu.
Kwani amekwamba ataudhuria?
 
Wakuu ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Taifa letu Sasa limekuwa kituko tena kituko haswa kwa haya yanayoendelea. Sasa huyu Esta Bulaya atahudhuria kikao Cha kuvunja bunge August 3 kama mwanachama wa chama Gani? Haya ni maajabu.
Mbunge asiyefungamana na upande wowote
 
Kwanini hujauliza miaka yote hio walikaa mjengoni kwa ticket ya chama gani na walishavuliwa uanachama wa CDM?
 
Back
Top Bottom