Kinyungu
Platinum Member
- Apr 6, 2008
- 22,912
- 46,240
Unauhakika kiinua mgongo hakijalipwa May 2025? Gwajima kumpiga misumari Chairwoman ni kwa sababu mpunga ulishasoma na alishauhamishia home...we bado sana mwagito hata lugha ya picha huoni?Covid 19 siyo Wabunge halali baada ya kuhama chama kabla ya tarehe ya mwisho ya Bunge
Kura za maoni wote watakatwa Labda kama Bunge halitawalipa mafao kwa sababu wamejiuzulu kwa kuhama Chama š