Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
Sheria inasemaje kuhusu mbunge aliyejivua uanachama wa chama chake Cha siasa?Ccm ,sialisema alikua cdm kwa mkopo?
Hakuna kikao cha kuvunja bungeWakuu ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Taifa letu Sasa limekuwa kituko tena kituko haswa kwa haya yanayoendelea. Sasa huyu Esta Bulaya atahudhuria kikao Cha kuvunja bunge August 3 kama mwanachama wa chama Gani? Haya ni maajabu.
Sifikiri kama sisiem ipo kwenye wanao takiwa kuzingatia sheriaSheria inasemaje kuhusu mbunge aliyejivua uanachama wa chama chake Cha siasa?
Kama mgeni wa Mh. Naibu speaker Mh. Addi Azan Zungu!!Wakuu ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Taifa letu Sasa limekuwa kituko tena kituko haswa kwa haya yanayoendelea. Sasa huyu Esta Bulaya atahudhuria kikao Cha kuvunja bunge August 3 kama mwanachama wa chama Gani? Haya ni maajabu.
Aliyekwambia kuna kikao cha kuvunja Bunge tarehe 3/8/2025 nani?Wakuu ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Taifa letu Sasa limekuwa kituko tena kituko haswa kwa haya yanayoendelea. Sasa huyu Esta Bulaya atahudhuria kikao Cha kuvunja bunge August 3 kama mwanachama wa chama Gani? Haya ni maajabu.
Wewe nawe ni fala huna akiliAliyekwambia kuna kikao cha kuvunja Bunge tarehe 3/8/2025 nani?
Hakuna kikao kitakachofanyika tena ila siku hiyo litatolewa tangazo kwenye gazeti la serikali kwamba bunge limevunjwa rasmiWakuu ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Taifa letu Sasa limekuwa kituko tena kituko haswa kwa haya yanayoendelea. Sasa huyu Esta Bulaya atahudhuria kikao Cha kuvunja bunge August 3 kama mwanachama wa chama Gani? Haya ni maajabu.
Amina. Siku tarehe 3/8 ikifika ndio tutajua mzazi wa nani alizaa mtoto na nani alizaa nyumbu inayoongea.Wewe nawe ni fala huna akili
NadhaniWakuu ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Taifa letu Sasa limekuwa kituko tena kituko haswa kwa haya yanayoendelea. Sasa huyu Esta Bulaya atahudhuria kikao Cha kuvunja bunge August 3 kama mwanachama wa chama Gani? Haya ni maajabu.
Uko sahihi 100%Sifikiri kama sisiem ipo kwenye wanao takiwa kuzingatia sheria
Kwani mnafiki johnthebaptist na mwanachama duniWakuu ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Taifa letu Sasa limekuwa kituko tena kituko haswa kwa haya yanayoendelea. Sasa huyu Esta Bulaya atahudhuria kikao Cha kuvunja bunge August 3 kama mwanachama wa chama Gani? Haya ni maajabu.
Kwani amekwamba ataudhuria?Wakuu ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Taifa letu Sasa limekuwa kituko tena kituko haswa kwa haya yanayoendelea. Sasa huyu Esta Bulaya atahudhuria kikao Cha kuvunja bunge August 3 kama mwanachama wa chama Gani? Haya ni maajabu.
Covid 19 siyo Wabunge halali baada ya kuhama chama kabla ya tarehe ya mwisho ya Bunge
Mbunge asiyefungamana na upande wowoteWakuu ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Taifa letu Sasa limekuwa kituko tena kituko haswa kwa haya yanayoendelea. Sasa huyu Esta Bulaya atahudhuria kikao Cha kuvunja bunge August 3 kama mwanachama wa chama Gani? Haya ni maajabu.