Pre GE2025 Ester Bulaya: Lissu ana uwezo wa kutufikisha kwenye Demokrasia ya kweli. Apongeza CHADEMA kwa Uchaguzi Uhuru na Haki Bungeni Dodoma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ukimuona Bulaya umemuona Mdee
1000022937.jpg
 
Unaongeleaje wale waliomfukuza uanachama yule aliyehoji Samia kupitishwa kinyemela? Au wao chama chao hakijadumaa kwakuwa kinabebwa na dola?
Hawawezi kumfukuza tu kwa kutoa maoni, huo ndio udumavu wenyewe.

Kuna sababu zinazoweza kufanya ufukuzwe uanachama, kutoa maoni kuhusu maamuzi ya kikao siyo moja ya sababu za kumfukuza uanachama.

Wao ndio wamekiuka katiba yao, yeye hajakiuka katiba kutoa maoni yake.
 
Walitoa sababu gani ya kumfukuza?
 
Anajikosha Ili arudishwe na COVID 19 wenzake si ndio? 😂😂
Kwani ni jambo baya? Unapoingia vitani, tumia silaha zote, hata ulizoziteka kwa adui yako. Naombea CHADEMA ya Lissu isiwe na mawazo kama ya kwako, masna kila kura moja ina uzito wake katika jumla ya kura zote, ukiingatia kwamba hao mnaowaita Covid19 wana watu wa kutosha nyuma yao, huwezi ukawaacha tu wakaenda ACT na CCM sababu ya mambo ya zamani. Kama Sumaye alienda CDM, itakuwa hawa watoto wa CDM kabisa?
 
Unafiki
 
Chadema imeonesha mfano

Ester aandike barua kuomba kurejeshewa uwanachama, na akimaliza muda wake tu wa ubunge, arudishwe chamani haraka.

Sahizi tunahitaji nguvu kubwa ya pamoja ili kukabiliana na shetani hawa walioweka sheria ya kishenzi ya uchaguzi.
 
Kabisa Hawa watu Ni asset katika haya mapambano ya kumng'oa mkoloni wa KIJANI
 
Nionyeshe post uliyowaonya ccm kwa kumfukuza, au wao hawataki wanachama?
Uzi huu haukuwa wa kada wa ccm aliyefukuzwa, jaribu kuwa unafanya mahusiano, usiamke tu ukaaza kupiga kelele, najua ndivyo mlivyo lakini nakukumbusha tu ujifunze.

Wewe Ukitafuta uzi kuhusu huyo mtu, hutokosa post yangu na utaileta hapa kwa uthibitisho.

Nenda kalifanyie kazi hilo urudi na ushahidi.

Utaona nilipost nini kuhusiana na swala husika.
 
Iweke hiyo post hapa.
 
Iweke hiyo post hapa.
Wewe ndiye umeleta hiyo hoja ni jukumu lako kutafuta huo uzi.
Huwa mnaongea tu bila kuangalia kinaongelewa nini.

Sasa uzi huu unaongelea nini na,wapi na kivipu ulitaka nilete uzi au pist zisizo husika hapa?

Matatizo yako wewe siyo yangu, katafute wewe ujiridhishe.
 
Naona kila post unalazimisha wingi kwangu, mtazamo wangu ni wangu, sio uwakilishi wa kundi fulani. Sina muda wa kupitia kila post huku jf, hivyo huo ushauri wako sio lazima uchukiliwe.
 
mlango ukowazi kurudi CHADEMA

sharti kavu 1 muhimu

Kwamba
wataje aliyetia Saini ya katibu(mnyika) au aliyewatambulisha kwa spika(bunge la jmt)

sitaki kuamini sharti hilo litawashinda mana ni jepesi sana
 
Naona kila post unalazimisha wingi kwangu, mtazamo wangu ni wangu, sio uwakilishi wa kundi fulani. Sina muda wa kupitia kila post huku jf, hivyo huo ushauri wako sio lazima uchukiliwe.
Hata sielewi ni wapi nilisema ni lazima uchukue ushauri wangu.

Wewe ndiye umeleta hoja zisizo kuwepo humu, unajibiwa unazunguka tu.
 
Back
Top Bottom