Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawawezi kumfukuza tu kwa kutoa maoni, huo ndio udumavu wenyewe.Unaongeleaje wale waliomfukuza uanachama yule aliyehoji Samia kupitishwa kinyemela? Au wao chama chao hakijadumaa kwakuwa kinabebwa na dola?
Walitoa sababu gani ya kumfukuza?Hawawezi kumfukuza tu kwa kutoa maoni, huo ndio udumavu wenyewe.
Kuna sababu zinazoweza kufanya ufukuzwe uanachama, kutoa maoni kuhusu maamuzi ya kikao siyo moja ya sababu za kumfukuza uanachama.
Wao ndio wamekiuka katiba yao, yeye hajakiuka katiba kutoa maoni yake.
Kwani ni jambo baya? Unapoingia vitani, tumia silaha zote, hata ulizoziteka kwa adui yako. Naombea CHADEMA ya Lissu isiwe na mawazo kama ya kwako, masna kila kura moja ina uzito wake katika jumla ya kura zote, ukiingatia kwamba hao mnaowaita Covid19 wana watu wa kutosha nyuma yao, huwezi ukawaacha tu wakaenda ACT na CCM sababu ya mambo ya zamani. Kama Sumaye alienda CDM, itakuwa hawa watoto wa CDM kabisa?Anajikosha Ili arudishwe na COVID 19 wenzake si ndio? 😂😂
Hivi ni lipuuzi gani lilikuwa linaomba taarifaKuna zoba huko limekazana eti Taarifa..taarifa..hahaha...sasa kitu kama hiki taarifa ya nini..Ndio maana Mh Zungu kamchunia tu...
UnafikiKwani ni jambo baya? Unapoingia vitani, tumia silaha zote, hata ulizoziteka kwa adui yako. Naombea CHADEMA ya Lissu isiwe na mawazo kama ya kwako, masna kila kura moja ina uzito wake katika jumla ya kura zote, ukiingatia kwamba hao mnaowaita Covid19 wana watu wa kutosha nyuma yao, huwezi ukawaacha tu wakaenda ACT na CCM sababu ya mambo ya zamani. Kama Sumaye alienda CDM, itakuwa hawa watoto wa CDM kabisa?
Hawajatoa sababu, taarifa ilisema kafukuzwa ccm.Walitoa sababu gani ya kumfukuza?
Na ukaona ni sawa?Hawajatoa sababu, taarifa ilisema kafukuzwa ccm.
HAhaha, unaweza kunionyesha niliposema au nilipoona ni sawa?Na ukaona ni sawa?
Chadema imeonesha mfano
Nyie mnashida pahala ila hamjielewi tu, wapi nimeandika kwamba hilo ni sawa, au niliona ni sawa?Na ukaona ni sawa?
Nionyeshe post uliyowaonya ccm kwa kumfukuza, au wao hawataki wanachama?HAhaha, unaweza kunionyesha niliposema au nilipoona ni sawa?
Kabisa Hawa watu Ni asset katika haya mapambano ya kumng'oa mkoloni wa KIJANIEster aandike barua kuomba kurejeshewa uwanachama, na akimaliza muda wake tu wa ubunge, arudishwe chamani haraka.
Sahizi tunahitaji nguvu kubwa ya pamoja ili kukabiliana na shetani hawa walioweka sheria ya kishenzi ya uchaguzi.
Uzi huu haukuwa wa kada wa ccm aliyefukuzwa, jaribu kuwa unafanya mahusiano, usiamke tu ukaaza kupiga kelele, najua ndivyo mlivyo lakini nakukumbusha tu ujifunze.Nionyeshe post uliyowaonya ccm kwa kumfukuza, au wao hawataki wanachama?
Iweke hiyo post hapa.Uzi huu haukuwa wa kada wa ccm aliyefukuzwa, jaribu kuwa unafanya mahusiano, usiamke tu ukaaza kupiga kelele, najua ndivyo mlivyo lakini nakukumbusha tu ujifunze.
Wewe Ukitafuta uzi kuhusu huyo mtu, hutokosa post yangu na utaileta hapa kwa uthibitisho.
Nenda kalifanyie kazi hilo urudi na ushahidi.
Utaona nilipost nini kuhusiana na swala husika.
Wewe ndiye umeleta hiyo hoja ni jukumu lako kutafuta huo uzi.Iweke hiyo post hapa.
Naona kila post unalazimisha wingi kwangu, mtazamo wangu ni wangu, sio uwakilishi wa kundi fulani. Sina muda wa kupitia kila post huku jf, hivyo huo ushauri wako sio lazima uchukiliwe.Wewe ndiye umeleta hiyo hoja ni jukumu lako kutafuta huo uzi.
Huwa mnaongea tu bila kuangalia kinaongelewa nini.
Sasa uzi huu unaongelea nini na,wapi na kivipu ulitaka nilete uzi au pist zisizo husika hapa?
Matatizo yako wewe siyo yangu, katafute wewe ujiridhishe.
mlango ukowazi kurudi CHADEMACovid 19
Hata sielewi ni wapi nilisema ni lazima uchukue ushauri wangu.Naona kila post unalazimisha wingi kwangu, mtazamo wangu ni wangu, sio uwakilishi wa kundi fulani. Sina muda wa kupitia kila post huku jf, hivyo huo ushauri wako sio lazima uchukiliwe.