Ester Bulaya: Ni bora sisi tuwatumikie mabeberu kuliko kukutumikia wewe!

Wacha upumbavu wewe!!! yule ni muwakilishi wa wananchi na yeye anafanya kazi ya kuwawakilisha wananchi na pia yeye bulaya alichaguliwa na wananchi wala hakuchaguliwa na rais wala serikali! Wanachokifanya chadema ni kulinda uhai wao kwa hali na mali.... meko kajichichimbia kwao wewe unadhani kwanini meko kajichimbia kwao? akili za kuambiwa mix na za kwako
 
Sio mzima huyo angekuwa mzima asingeolewa na mwanamke mwenzake
 
Yule dada sikudhani km anadharau kiasi hiki
Lkn tutamfundisha kwenye boksi la kura kuwa usaliti haufai
Kama ni hako, ni ka mtu ka hovyo tu! Ufahamu ni mdogo. Huyo ni mmoja wa watu wanaojifanya kama mnyama wa mwituni, yaani asifiwe kwa ushujaa wa kushambulia wengine badala ya kutumia akili.
 

Kwani analipwa bure?
 
Huyu hatufai ,abaki kuwa mbunge wa twitter,mdomo umeponza kichwa,sidhani kama wapiga kula wake wanahaja nae tena,kajimaliza mwenyewe,pia nahisi anavutishwa ganja na kina mdee ,hakuwaga hivi Easter Bulaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu anayewakilisha Wananchi hawezi kutumika na Mabeberu

Bulaya ameonyesha ujinga wa hali ya juu

Tunamwonyesha hasira zetu October
 
Bulaya nilikuwa namuona ni mtu anayejielewa kichwani kumbe wale wale km walioko Chadema

Mbunge unawakilisha Wananchi unaropoka vitu vya hovyo hovyo


Usipotoshe maana ya kauli husika.


Corona ipo na inaua.

KAULI YA RAIS .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…