Kaongea kauli mbovu kabisaHuu ndio ujumbe alio utoa mbunge wa Bunda mh Ester Bulaya kwenye ukurasa wake wa Twitter baada ya hotuba ya Rais.
Nanukuu
"Ni bora sisi tuendelee kuwatumikia mabeberu kuliko kukutumikia wewe"
Hizi ndio kauli za viongozi walio chaguliwa na wananchi na kupewa dhamana ya kuwawakirisha bungeni.
Kama taifa bado tuna safari ndefu sana Mungu atusaidie.!!
Huu ndio ujumbe alio utoa mbunge wa Bunda mh Ester Bulaya kwenye ukurasa wake wa Twitter baada ya hotuba ya Rais.
Nanukuu
"Ni bora sisi tuendelee kuwatumikia mabeberu kuliko kukutumikia wewe"
Hizi ndio kauli za viongozi walio chaguliwa na wananchi na kupewa dhamana ya kuwawakirisha bungeni.
Kama taifa bado tuna safari ndefu sana Mungu atusaidie.!!
Ni kaukweli tu mkuu........km kanauma poleee
Mkuu uko sahihi, ila pia si kwamba anaficha udhaifu kwa kuwapinga wanao mkosoa Ila anasema kile anachokiamini yeye, huyu ni mmoja wa viongozi wachache sana wenye sifa ya kusimamia kile wanachokiamini.Kuna shida mahali. Mh. Rais anatakiwa awe mwangalifu katika kauli zake. Anapenda sana kulitumia hilo neno 'mabeberu', kwa mambo ambayo hana uhakika nayo. Mtu yeyote akiwa tofauti na mawazo yake, basi huyo anatumika na mabeberu. Kiongozi hustahili kuwa hivyo. Usifiche udhaifu kwa kuwakejeli wanaokukosoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nadhani wewe hujua hata historia ya Africa hata kidogo wewe mkuu, ungekuwa unajua usinge uliza haya.Dam55 unakataa nini? Nakwambia afadhali ya Mkolonii. Nambie Mkoloni aliwaua wangapi? Aliwapoteza wangapi? aliwafunga wangapi kwa makosa ya money laundering , sabotage or like charges. Sedition charge waaafrika madikiteita wanaitumia kuliko alivyoitumia mkoloni. AFADHALI YA MKOLONI
Ni sawa wacha awatumikie mabeberu si ndio hao hao mabeberu wanaotetea ushoga?sisi Waafrika kwa mfano tukioa wanawake zaidi ya mmoja tunaambiwa huko ni kukiuka haki za binadamu lakini kwenye ushoga tunaambiwa hiyo ni haki ya kila mmoja,sishangai huyu dada kukubali kuwatumikia mabeberu badala ya watu wa Bunda na nchi yake.Huu ndio ujumbe alio utoa mbunge wa Bunda mh Ester Bulaya kwenye ukurasa wake wa Twitter baada ya hotuba ya Rais.
Nanukuu
"Ni bora sisi tuendelee kuwatumikia mabeberu kuliko kukutumikia wewe"
Hizi ndio kauli za viongozi walio chaguliwa na wananchi na kupewa dhamana ya kuwawakirisha bungeni.
Kama taifa bado tuna safari ndefu sana Mungu atusaidie.!!
Rasi anatoa eti INSTRUCTIONS watu wasilipwe uko ni kuingilia mamlaka ya bunge. Uganda tumeshuhudia spika mwanamke akimchimbia biti Museveni. Huo ndo utawala wa bunge. Raisi hana mamlaka ya matumiz ya bunge kwa mujibu wa katiba yetu. Ni Tanzania pekee yanapotokea
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabeberu ni kina nani? Mbona nchi hii tunakuwa kama vichaa nchi hii!
Leo wanaotukosoa huko nje tunawaita mabeberu, kesho wakitupa misaada na mikopo tunawaita "wadau wa maendeleo"!
Sio fair mtu mmoja akiamua kujitia ukichaa basi nchi nzima tujifanye wote vichaa
Sent using Jamii Forums mobile app
We utanitumikia mtu mjinga anayekimbilia chato.....watu wanakufa kwa kasi ya 4G ww unawadanfanya wananchi umekimbilia kujificha polini?
Mbwa zu ndo watakutumikia wale walamba makalio kwa ajili ya vyeo pale lukumba
nadhani uhuru wamepata watu wachache ambao ni washika dau na tumeruhusu new form of colonialism ambayo ni dictatorship gvt iliyo more advanced.na bado tunasumbuliwa sana na ukabila ambao pia ni more advanced kwa hapa kwetu Tanzania ni ngumu sana kujua hilo ila kwa washika dau ukabila ni miongoni mwa ajenda, na unafiki hapa kwetu ndo usiseme.MAENDELEO YAPO ILA YANA CHAMA MAHALUMU
There are so many ways to kill a Rat.KWA HIYO UNATAKA AMTUMIKIE HUYO MAGUFULI WAKO MSUKUMA ASIYEJUA LOLOTE...VITU VIDOGO VIDOGO VINAMSHINDA, WATU WANAPOTEZWA KWENYE HUU UTAWALA DHALIMU. IDI AMIN KIDOGO ALIKUWA BORA
Asipojiuzulu basi apinduliwe ka masilahi makubwa ya nchi. Hebu Mungu amuinue mwanajeshi mmoja jasiri afanye vitu vinavyoelewekaBulaya yuko sahihi Magufuli hafai ajiuzulu
kanaumaje,mimi naisikitikia afya yakoNi kaukweli tu mkuu........km kanauma poleee
Haiwezekani.....afya yako umeikabidhi chato kwenye usalama mpaka usikitkie ya kwangu?
Wamekua kama walimbwende tu kufikiria leo wanavaa gauni gana viatu gani na kubeba begi gani. Wamepata pesa hadi wamesahau kama walitumwa na wananchi. Kwa sasa kinawasumbua wafanye lipi kurejea bungeni. Tuone kama watapenya tundu la sindano.. . Eti bora kuwatumikia beberu kuliko jpm. Ngoja tuone hao watanzania watakaomrudisha huyu mjivuni jike bungeni.Huu ndio ujumbe alio utoa mbunge wa Bunda mh Ester Bulaya kwenye ukurasa wake wa Twitter baada ya hotuba ya Rais.
Nanukuu
"Ni bora sisi tuendelee kuwatumikia mabeberu kuliko kukutumikia wewe"
Hizi ndio kauli za viongozi walio chaguliwa na wananchi na kupewa dhamana ya kuwawakirisha bungeni.
Kama taifa bado tuna safari ndefu sana Mungu atusaidie.!!
Does that justifies our failure to tackle our own problems and ending up on begging everything?If Europe is what it is, it is because of Africa.!
Hii kauli binafsi sitokaa niiisahau kamwe! Ndio maana nchi imwkuwa ya ukanda, ukabila, utengano na kila aina ya ubomoaji wa mshikamano uliokuwepo,Hushangai yule aliyewaambia watumishi wake
Hawa musiwabomoleshe nyumba zao kwa kuwa walinipigia kura
Wakati huo huo ameboa nyumba zetu Morogoro road.
Isnt it obvious that the guy is sick ?
Tatizo ni kuwa hawashauriki,ukijaribu kuwakosoa/kuwashauri unapewa kesi ya uchochezi,kutakatisha fedha,uhujumu uchumi au haya watakuteka/kushambuliwa na wasiojulikana.Mkuu kwa nini huyo mbowe asiwe anatoa ushauri kusapoti jinsi ya kupambana na korona.kuliko kupinga kila juhudi ya mheshimiwa.
Mimi naamini kazi moja wapo ya upinzani sio kupinga tu bali hata kuishauri serikali
Mimi nimejaribu kuongea na mbowe anipe nafasi ya political consulted pale ufipa,lakini anajivuta vuta Sana,,Huu ndio ujumbe alio utoa mbunge wa Bunda mh Ester Bulaya kwenye ukurasa wake wa Twitter baada ya hotuba ya Rais.
Nanukuu
"Ni bora sisi tuendelee kuwatumikia mabeberu kuliko kukutumikia wewe"
Hizi ndio kauli za viongozi walio chaguliwa na wananchi na kupewa dhamana ya kuwawakirisha bungeni.
Kama taifa bado tuna safari ndefu sana Mungu atusaidie.!!
HUNA POINT KWA NINI RAIS ASIJIBIWE AU KAWA MUNGUMimi nimejaribu kuongea na mbowe anipe nafasi ya political consulted pale ufipa,lakini anajivuta vuta Sana,,
Bulaya Wala haihitaji kumjibu hivyo rais,hi inakuwa na negative impact kwao,wanapoanza kujibishana na rais Kama waki kwenye ngonjera,
What they need to do,is to make their point and keep quiet letting things flow,
Mwisho wa siku mda utaamua Nani alikuwa sawa
Mkuu nadhani wewe hujua hata historia ya Africa hata kidogo wewe mkuu, ungekuwa unajua usinge uliza haya.
Watu waliuzwa kama maharage sokoni, watu wangapi walifia kwenye kufanya kazi za kikoloni, unajua ni watu wangapi walifia mikononi mwao wakati wakijenga hizi reli za kikoloni kwa lazima, unakumbuka kipande system??
Mkuu nadhani ulikuwa unatania tu hauko serious!!