Statistics
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 3,666
- 7,788
Polisi wa form four +cheti Cha polisi na mwalimu wa form four +cheti Cha ualimu walioanza kazi tarehe 30-06-2015 mwalimu ana mshahara mkubwa kuliko polisi na psssf amechangia Hela nyingi huku polisi hajawekewa hata mia mbovu.Kumbe wanaolipwa mishahara midogo ni wengi ila kila siku wanasimangwa walimu
Hawawezi kukuelewa kwa sababu iliyotajwa ni Basic Starting Salary kwenye hicho cheo kwa Polisi na Magereza.Hiyo "Incliment" nadhani ulimaanisha "Increment" haihusiki.Kuwa cheo kimoja sio sababu ya kupata mshahara sawa, kitu cha msingi ni lini alikipata cheo. Kuna suala la "Salary Incliment" kwa wale tuliosoma Cuba watakua wamenielewa.
Increments imewekwa Moja tu Toka watu wale vyeo vipya. Mimi ndiye mkufunzi wa Cuba alumniKuwa cheo kimoja sio sababu ya kupata mshahara sawa, kitu cha msingi ni lini alikipata cheo. Kuna suala la "Salary Incliment" kwa wale tuliosoma Cuba watakua wamenielewa.
Hahahahaha sister umeanza, nadhani karibu Makonda anaingia Mbeya, UWT mjipangeUsipovuta mibangi yako unakuwaga na akili kiasi chake. Rushwa ni tabia ya mtu. Endelea kupunguza mibangi yako maana nilishasema akili kichwani mwako zipo ila mibangi ndio inayokuharibu
Ni mbunge jimbo gani huyo Esther?Ana-aim nini hapa Mb. matiko? Anataka nani apunguziwe au nani aongezewe?
Mbona private sector wanalipwa kidogo sn na hawachui rushwa? rushwa ni tabia ya mtu na tamaa ya mafanikio ya harakaKumbukeni hiyo 950,000/= ni kabla ya makato. Take home inaweza kuwa 700k na hapo itategemea kama hana mkopo
Magereza umewahi ona wanachangia form ya Rais ya kugombea?Kumbe wanaolipwa mishahara midogo ni wengi ila kila siku wanasimangwa walimu
Hawasikii maana hawana akili..Mishahara midogo ya Polisi na Magereza iwe sehemu ya ujumbe wa maandamano ya Chadema.
Asisahau kuhoji pia utofauti uliopo kati ya mshahara wa mbunge na mwalimu"Nini kinasababisha tofauti ya maslahi kati ya Askari wa Jeshi la Polisi na Askari wa Jeshi la Magereza, mathalani Assistant Inspekta of Police anapewa basic salary shilingi laki tisa na elfu hamsini (950,000) wakati wa magereza anapewa kiasi cha shilingi laki nane na elfu hamsini na saba (857,000) tofauti ya takribani laki moja na wote wako Wizara ya Mambo ya Ndani na wana cheo kimoja nini kinapelekea utofauti wa mshahara huu," - Esther Matiko
My take:
Kama ofisa mwenye nyota moja analipwa hivyo, ni ngumu sana kwa rushwa kuisha nchi hii.
rushwa za buku mbili mbili za road ndio tatizo achana na zile rushwa za kibabeRushwa ni tabia yako.
Kuna watumishi wanalipwa mamilioni lakini wanakula rushwa.
Huko huko polisi kuna Watumishi wanapokea mshahara chini ya huo lakini wamejitenga na rushwa
Sasa hao wengine wapo na hali gani?"Nini kinasababisha tofauti ya maslahi kati ya Askari wa Jeshi la Polisi na Askari wa Jeshi la Magereza, mathalani Assistant Inspekta of Police anapewa basic salary shilingi laki tisa na elfu hamsini (950,000) wakati wa magereza anapewa kiasi cha shilingi laki nane na elfu hamsini na saba (857,000) tofauti ya takribani laki moja na wote wako Wizara ya Mambo ya Ndani na wana cheo kimoja nini kinapelekea utofauti wa mshahara huu," - Esther Matiko
My take:
Kama ofisa mwenye nyota moja analipwa hivyo, ni ngumu sana kwa rushwa kuisha nchi hii.
Yeyote.....Ana-aim nini hapa Mb. matiko? Anataka nani apunguziwe au nani aongezewe?
Mkuu ushawahi kukaa jela?Magereza ni jeshi lenye askari wenye akili sana kuliko Polisi
Aisee 🤣Polisi wa form four +cheti Cha polisi na mwalimu wa form four +cheti Cha ualimu walioanza kazi tarehe 30-06-2015 mwalimu ana mshahara mkubwa kuliko polisi na psssf amechangia Hela nyingi huku polisi hajawekewa hata mia mbovu.
Polisi ana gari wakati mwalimu ana pkpk
Polisi ana nyumba, Mwl ana kiwanja...au geto lipo lenta
CCM oyee
Niliamua kuacha kazi nikiwa na cheo kikubwa,leo hela anayolipwa afisa wa police mwenye nyota mbili ndio namlipa dereva wangu."Nini kinasababisha tofauti ya maslahi kati ya Askari wa Jeshi la Polisi na Askari wa Jeshi la Magereza, mathalani Assistant Inspekta of Police anapewa basic salary shilingi laki tisa na elfu hamsini (950,000) wakati wa magereza anapewa kiasi cha shilingi laki nane na elfu hamsini na saba (857,000) tofauti ya takribani laki moja na wote wako Wizara ya Mambo ya Ndani na wana cheo kimoja nini kinapelekea utofauti wa mshahara huu," - Esther Matiko
My take:
Kama ofisa mwenye nyota moja analipwa hivyo, ni ngumu sana kwa rushwa kuisha nchi hii.
Doh ndo maana"Nini kinasababisha tofauti ya maslahi kati ya Askari wa Jeshi la Polisi na Askari wa Jeshi la Magereza, mathalani Assistant Inspekta of Police anapewa basic salary shilingi laki tisa na elfu hamsini (950,000) wakati wa magereza anapewa kiasi cha shilingi laki nane na elfu hamsini na saba (857,000) tofauti ya takribani laki moja na wote wako Wizara ya Mambo ya Ndani na wana cheo kimoja nini kinapelekea utofauti wa mshahara huu," - Esther Matiko
My take:
Kama ofisa mwenye nyota moja analipwa hivyo, ni ngumu sana kwa rushwa kuisha nchi hii.
CC:Mpwayungu Village Kwa Hatuo Watazame Na HawaKumbe wanaolipwa mishahara midogo ni wengi ila kila siku wanasimangwa walimu