Hahahahah.Inawezekana. G Sam na yeye ni noma.Lakini jambo jema ni kwamba, yeye alikuwa 'mwaka wa kwanza', na madini yalikuwa wa 'pili'.
Kombinesheni za aina hiyo huwa ni za nadra. Inawezekana G Sam alikuwa na 'mpunga' wa kutosha!
Wewe nani kakunyima nundu?Estar amepewa sababu ya nundu yake ila hana lolote
State agent
Halima atakufaa sanaHonestly, I like Susan Kiwanga, Esther Matiko, Ester Bulaya, Halima Mdee and the like. They are the iron ladies and the heart of CHADEMA! Ningekuwa karibu nao, kwa wasioolewa, ningemuoa mmojawapo. Ha ha ha ha ha ha
UDSM alifanya MBA mzeeYule dada nakumbuka mm nipo first year yeye yupo second year pale UDSM Mabibo hostel, landmark hotel palikuwa nyumbani kwetu...Ila siku hizi uso wake unahorojeka sijui ni nini na sijawahi pima toka enzi hizo basi balaa tupu!
Huenda ndio tabia uliofundishwa kwenu.Estar amepewa sababu ya nundu yake ila hana lolote
State agent
Kwani ulitaka washinde ili iweje? Au ulitaka waenguliwe kama mnavyofanya huko CCM?Wote waliojifanya kutaka nafasi ya mwenyekiti wamepigwa chini mapema ili kuonyesha kwamba hawakubaliki au hawana uwezo wa kusimama kwenye nafasi ya juu, siasa za Nchii hii bado ngumu sana na democrasia tunaitaja tu lakini bado inatupa shida sana wanatanzania! Any way hongera kwake kwa ushindi!
Halima ameolewa na nani?Bahati mbaya kwako wote hao wameolewa.
Huwa namuona kwa mbali mbali tu hapa Survey. Nitamsogelea kumwambia...ha ha ha ha ha ha haHalima atakufaa sana
Tulikuwa naye first degree mimi nipo CoET yeye yupo Sociology.. Na tulikuwa wote CHASO alikuwa anavaa kisketi fulani chekundu enzi hizo ana bonge la mguu...Jojo tulikuwa tunakutana blockA yeye yupo third year mimi first year alikuwa anapenda sana kusomea CoET hadi usiku mnene 😜😜UDSM alifanya MBA mzee
Team Mbowe wote wanashinda. Hongera sana Mrs Mwalimu naibu katibu mkuu Chadema kwa kushinda.
Kweli chadema mmeishiwa sasa hapa Shonza anahusikaje mkuu.Sasa hawa ukija kulinganisha na mtu kama Juliana Shonza ndio utakapo juwa tofauti kati ya mbwa wa kufuga na Simba mwituni.
Esther Matiko 44
John Heche 38
Hongera Mwana mama Esther Matiko
Hata hivyo John Heche ni kati ya Wanasiasa wachache sana ninaowahusudu Tanzania!
Kiasi siwezi kutilia shaka ujasiri na uzalendo wake kuhusu siasa za Tanzania.
Mifumo ya Chadema unaijua au una bwabwaja tuu?Wapiga kura 82 tu?........kweli Chadema ni chama kidogo!
Mbona analika tu tena usikute purukushani zake Amber Ruthy kasingiziwa.Huwa namuona kwa mbali mbali tu hapa Survey. Nitamsogelea kumwambia...ha ha ha ha ha ha ha
Mme mzee sana yule. Kazi haiwezi.Esther damu bado inachemka yule.Unamaana esther anapigwa na ticha si ana mume wake yule
I see. Tatizo connectionMbona analika tu tena usikute purukushani zake Amber Ruthy kasingiziwa.
Kwa Mimi nisiye mwanasiasa John Heche...ni kamanda kweli kweli..ukisikia makamanda wa CHADEMA wenye misimamo dhabiti..Heche..ni mmojawapo..tangu akiwa kiongozi wa vijana ni mtu mpambanaji...Hongera Kwa Matiko.hiyo ndio demokrasia....kikubwa ni kupendana na kushirikianaEsther Matiko 44
John Heche 38
Hongera Mwana mama Esther Matiko
Hata hivyo John Heche ni kati ya Wanasiasa wachache sana ninaowahusudu Tanzania!
Kiasi siwezi kutilia shaka ujasiri na uzalendo wake kuhusu siasa za Tanzania.
Subiri tukupe codes za kibahariaI see. Tatizo connection
Kama wewe unayetafunwa hapo lumumbaEsta soon mbowe atamfikia ,hii rushwa ya ngono inaitafuna chadema baada ya Joyce mukya na mbowe ,Rose kamili na slaa sasa ni kutafunana
State agent
Sasa wewe Chakaza una fursa ya kupiga kura kweli?!!Mifumo ya Chadema unaijua au una bwabwaja tuu?