Eswatini: Mfalwe Mswati atoa amri kwa wanaume kuoa wanawake watano au kwenda jela maisha

Nakwambiaje, tukitoa dini tuweke Sheria wanaume waoe wake wengi as possible ili wote tuolewe, mngekosa wake nawaambia
Hiyo ni kweli..! Ila ukubali kale kakifungu ka biblia wake 7 kumung'ang'ania mume mmoja huku wakisema watajihudumia.
 
Hahahahah..! Acha ujinga mimi nimekaa nalea mwanangu mke karudi kazini akikua na endelea na mishe zangu.
 
Hayo ndio maneno sasa,sio linasimama limtu la ccm na kitambi chake na kusema vijana wajiajiri,wkt lenyewe limeiba kura na kua mbunge
 
Hivi naweza kupata uraia wa nchi hii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahahahah..! Acha ujinga mimi nimekaa nalea mwanangu mke karudi kazini akikua na endelea na mishe zangu.
Oh so you're a house Husband!!

Whatever works for you guys man!

Ndomaana Kuna wanawake hawazai wanasema hawataki watoto, they are just not instinctively maternal....na Kuna wanaume kama wewe hapo wanataka wabaki home wanyonyeshe.

Haya maisha bwana.... inasemekana eti kuna over 30 genders eti and not just two. Probably the source of all this confusion.

anyways is this how you ride your wife after she comes back from work?





Mods spare me πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…