Eswatini: Mfalwe Mswati atoa amri kwa wanaume kuoa wanawake watano au kwenda jela maisha

Eswatini: Mfalwe Mswati atoa amri kwa wanaume kuoa wanawake watano au kwenda jela maisha

Hahaha mkuu, that will be too much aisee. We binafsi utaweza wakati una wanawake watano wanaotambulika kihalali kama wake zako?
Wanaune uwa haturidhiki hata tupewe buku bado atapita dem ana mwanya eti umetamani mwanya, atapita demu ana kidoti, eti utamani kidoti
 
Je, mgeni ukienda huko utabanwa na sheria hiyo?
Na utaratibu wa kuhamia huko ukoje?
Utakuwa free kufungamana na sheria zao mkuu. Kama unatataka kwenda ni shauri lako tu, ila kumbuka kuwa wao kule kuwa na wanawake zaidi ya watatu ni kawaida na wala mke mkubwa na wapili hawakumaind kabisa.. You're free to live your life as long you provide them the necessities as given.
 
mybe kwa nchi yake lakin globally kutokana na ratio ya jinsia ilivyo bado atakuwa hajafanikiwa kumpa kila mwanamke mume .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfalme Mswati III wa nchi ya Swaziland ametangaza kwa wanaume nchini humo kuoa wake kuanzia watano au kwenda jela maisha lengo likiwa ni kila mwanamke apate mume.

Taarifa ilitoka kwa mfalme huyo imesema kua wanaume wote wanatakiwa kuoa wake watano na serikali nchini humo itagharamia harusi yote na kuwanunulia nyumba.

Source: Marry 5 wives or be jailed - Swaziland King orders country men - Adomonline.comView attachment 2118667

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Na Mama angeamuwa ivyo tungejifaije?

Mama aruhusu na kwetu Tanzania
 
IMG_9214.jpg

Serikali ya Tanzania wahakikishe sisi raia wa eswatini tuliokuja kipindi cha kupambana na ukoloni turudishwe kwenye nchi yetu ya asili tukasaidie haya mambo mfalme aliyosema, lazima tukaone hao mabinti wanapata haki yao hapo bado mmoja nisimuudhi mfalme
 
Back
Top Bottom