Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Watadhoofishwa na nini, mbona haujafafanua?Yani Hamna hamna mwisho watano ?
Si watadhoofisha afya za wananchi (wanaume)
Wanaume wa huko wana raha sana na vifo vitokanavyo na misongo ya mawazo inayosababishwa na wanawake midomo kaya nadhani havipo!Hata Eritrea lazima kuoa kuanzia wanawake 2 kwenda juu,kinyume na hapo ni kifungo.
Michepuko ni lazima, iangalie vizuri picha utaona wanawake wanaonekana maumbile ya ndani.halafu utakuta wanaume wa huko baada ya kuoa hao watano bado wana michepuko tena!
Kwani wewe hapa Tzn umelazimishwa kuoa mwanamke mmja au ni uwezo wako Dunia wa maamuzi ?Wanaume wa huko wana raha sana na vifo vitokanavyo na misongo ya mawazo inayosababishwa na wanawake midomo kaya nadhani havipo!
Siyo uwezo duni mkuu!Kwani wewe hapa Tzn umelazimishwa kuoa mwanamke mmja au ni uwezo wako Dunia wa maamuzi ?
Unawatafutia mashamba na mbegu tu halafu inabaki kuwasukumia 🔥 🔥 🔥 tuùuuAtawasaidia kuwalisha au?..
Twende tukajizoleee mkuuMzeya kule mbabane na manzini tunatia mguu bila visa
Haijaletwa tu mnahangaika mara mavumbi ya kongwa,Congo,mara ya Nigeria ikiletwa si ndo mtazikika wote nyie
Katika hali isiyotarajiwa King Mswati wa Swaziland ametoa amri kwa Kila mwanaume nchini kwake kuoa wanawake watano. Kinyume na hapo atakaepinga atawajibika kutumikia kifungo cha maisha jela.
Hayo yamesemwa tarehe 10 February 2022 na Mfalme huyo mwenye wake wengi na watoto wasiokua na idadi. Aidha ameongeza kua serikali ipo tayari ku-cover gharama za ndoa zote pamoja na kumjengea nyumba Kila mwanamke atakayeolewa.
Vipi wadau mnaonaje hii sheria ikaanzishwa hapa kwetu [emoji12]?
Uzi tayari...
Kumekucha ngoja nijiandae kisaikorojiaTwende tukajizoleee mkuu
Twende mkuu nauli juu yanguKumekucha ngoja nijiandae kisaikorojia
Niende huko
Nauli ninayoTwende mkuu nauli juu yangu
Poa mkuuNauli ninayo
Hilo life lako la kukaa kunyonyesha home huku mke anapiga mzigo hamna anayelitaka bwana... Enjoy your life but no woman dreams of such a life sorry. Maybe MarioosAkili yako ni fupi kama mkia wa pimbi, au wenda ata hiyo akili hauna na kama unayo itakuwa haina akili.. [emoji23][emoji23]
Kwahiyo mke wangu kufanya kazi ukajua yeye ndiyo provider wa familia..? Anyway mimi si muajiriwa ila I'm my own boss pesa haitafutwi inapatikana kwa strategies. Vile tu my wife kaajilwa sehemu nyeti na mimi sitiishwi na mtu na zaidi I love my kids sana. Life kama langu ukilipata utalinga.
Mwamba tende zetu, passport approved lUnajichagulia wenye vyura tu na miguu
Ova
Wewe unaziamini? Mimi nakomaa na traditions zetu,huo utamaduni wa wazungu sina.Siyo uwezo duni mkuu!
Izi dini hizi, wee acha tuu.
Ukigusia issue hiyo, dunia yote inakupa kisogo, hsta mmoja uliyenae waweza kumpoteza kimasihara.
Na mizao ya huko wengi ni type hizo, kukuta kimbaumbau ...itokee tu , nadra sana yaniUnajichagulia wenye vyura tu na miguu
Ova