Ethiopia inaenda kuvunjika kama Yugoslavia

Haha umeeleweka mkubwa
 
Yaani hawa watigriya wapo kila sehemu ya dunia ni dhana ya kujitukuza na kutaka kujiunua na kujiona Uko tofauti na binadamu wenzako kuwa wewe nj bora ila hakuna kitu.
Mjerumani huwa anajiona kuwa ndiye pure superior ya race ya kizungu. Na huko UK kuna Irish,Scottish and Welsh na hapa wapo wanajiona wapo juu kuliko wengine.

Eti nchi hawezi kwenda bila ya Wa tigray kupewa madaraka.
Yaani ujue mtenda akitendwa anaumia sana tena sana asikuambie mtu
 
... uko sahihi; hiyo heading kwa haraka haraka inamsadifu mtoa mada kama guru wa masuala ya Ethiopia badala yake ukisoma content ni tofauti.
 
Mpo wenyewe sasa hivi leteni maendeleo acheni stori !
 
hii inelekea kabisa kuwa kama Biafra. Kutakuwa na humanitarian crisis kubwa sana. Maana hao watigray ni seasoned fighters, hawawezi weka silaha chini kirahisi.
 
Tanzania tena masomi ndio yamekuwa majinga majinga tu,yanaendeshwa kama bajaj mbovu.Hawaangaiki kutafiti wala kusoma..
 
Kweli siyo vizuri kuegemea upande wowote. Nimechanganyikana sana na Tigraens kwenye kubeba boksi waka ni influence sana. Ila wanawadharau wa Oromo. Utawasikia mabinti wa kitigray wakidai sitawhi kumdate muOromo.

Abiy anawakati mgumu sidhani hata analala vizuri. Huku Oromo huku Tigray. Hata mabomu anayoshusha Tigray anashusha kwa tahadhari.

Its already a divided nation.
Wasandawe je?
Bushmen
 
Note:
Naona wazungu wapo katika mkakati wa kuligawa tena bara la afrika hasa kwa nchi kubwa kubwa, itazame Sudan imeshagawanyika, Chad hapakaliki ,Nigeria anytime itagawanyika sababu ya mafuta yanayopatikana kaskazini, Mozambique tayari gesi imeanza kuleta shida, Ethiopia inaelekea ugawanyika, Libya tayari iko vipandevipande, Somalia tayari wana Somali land na Somalia nyingine, Congo hapakaliki, Angola aidha pana vita ama vuguvugu la kutoelewana sijaiweka Tanzania japo ni nchi kubwa afrika pamoja na South Africa labda sababu inawazungu wengi, na Misri hizi hazipo salama anytime zitatikisika whether you like it or no lazima zitatikiswa ni swala la muda tu, ila siku zinahesabika, naona whites wapo kwenye mission kali sana sijui kama tutapona Tanzania!
Sioni pa kuponea uenda varangati itaanzia kusini mwa Tanzania ila inabidi tuwe makini we're in danger naona dhahiri hatupo salama.
 
nadhani adui mkubwa wa Africa ni viongozi wake. Leo isingekuwa tamaa ya viongozi wa trigey unadhani Ethiopia kungekuwa na vurugu?
Tatizo Africa kuna makundi ya watu wanaamini wao ni bora na wanafaa kutawala bila kujali haki za wanaowatawala

Nadhani solutions ni waafrica kuwashughulikia viongozi wao kwa kutumia sheria ili kutotoa mwanya wa uingiliaji wa mataifa ya kigeni
 
Ethiopia imejali maendeleo ya vitu badala ya kuzingatia haki, uhuru, na maendeleo ya watu. Ndiko Tanzania chini ya Mhutu tunakoelekea.
Sasa hayo yote yanakwenda kusambaratika na vita
 
Hii ni hofu ya kitu kisichokuepo.

Na watawala wamefanikiwa kuitumia propaganda kama hii ili kufanya watakayo na kusalia madarakani kwa kigezo cha ''kuwadhibiti mabeberu"

ACHA UOGA
 
Ndicho chadema walitaka kuigawa nchi na kutaka ili baadae tusambaratike kimakabila. Unapotengeneza umajimbo unaandaa nchi kusambaratika.
Umetoka nje ya mada kwa uccm wako...
Kweli uccm ni ushamba
 
😂😂
 
Kuongoza taasis kubwa km hiyo ya uwazir mkuu si mchezo,unaweza ukaingia na mitazamo yako lkn wahafidhina wa taasis wakakueleza kuwa unaenda kinyume na malengo ya taasis na ndio maana wanasiasa wengi sana stail wanayoanza nayo huwa haidumu ref;awamu ya tat,nne,tano.....................
 
Suala sio kabila acha ujinga, suala ni majimbo yenye mamlaka na jeshi. Hayo majimbo Ethiopia yana majeshi yake na watawala wanaochaguliwa na wananchi na wanamamlaka ya kukatalia hata serikali kuu.

Ndio upumbavuu waliotaka kuanzisha Chadema
Majimbo yanamakabila we ndo uaje Ujinga, Jimbo la oromia wanakaa kabila la oromo, the same kwa amhara na tingrayan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…