Ethiopia inaenda kuvunjika kama Yugoslavia

Ethiopia inaenda kuvunjika kama Yugoslavia

Hii mbona inakuja kuwa sawa kabisa na hapa kwetu tz kuna watu Fulani wao walijiona kuwa ndo wamesoma na wanastahili kutawala.JP hakuteua hata waziri mmoja wakaleta mjadala kuwa JP ana shida gani na tigray mana hajatupa waziri mmoja jamani.
So saivi wanajiona kama wanaonewa ila enzi zao walijiona wao ndo wajanja wamesoma Kumbe walipewa madaraka afu wakafanya ofisi za serikali kama za familia zao.
Sie Wa promo, Amhara na huku sudani kusini Wa fugaji tu Wa ng'ombe.
Haha umeeleweka mkubwa
 
Japo si ubinaadamu kutumia NGUVU iliyopitiliza zaidi ya wengine...

Ila alichofanya Abiy Ahmed hakiepukikwi.....labda uamue kuliacha taifa LIGAWANYIKE....

Ni kweli Tigrinya wanajiona KEKI juu ya wananchi WOTE...
Walizoeshwa hivyo.....

Sasa inabidi KIWANUKIE tu....
Yaani hawa watigriya wapo kila sehemu ya dunia ni dhana ya kujitukuza na kutaka kujiunua na kujiona Uko tofauti na binadamu wenzako kuwa wewe nj bora ila hakuna kitu.
Mjerumani huwa anajiona kuwa ndiye pure superior ya race ya kizungu. Na huko UK kuna Irish,Scottish and Welsh na hapa wapo wanajiona wapo juu kuliko wengine.

Eti nchi hawezi kwenda bila ya Wa tigray kupewa madaraka.
Yaani ujue mtenda akitendwa anaumia sana tena sana asikuambie mtu
 
Hakika, ilipaswa iwe hivi..

Kinyume chake, kama ingebaki kama ilivyo basi kila mtu alitegemea mleta mada alete deep analysis ya historia ya Ethiopia ilikotoka, ilipo na inakoelekea na kwanini inakwenda kusambaratika..

Hii ingeweza kumjengea picha msomaji asiyeijua Ethiopia kuelewa vizuri ilikuwaje, iko vipi na kwanini inakwenda kuvunjika vunjika..

Lakini alichofanya mwandishi kiko too shallow, hakiakisi picha kamili ya title yake..

Kwa wasioijua Ethiopia na kuelewa nini kinaendelea huko, hawawezi kuelewa chochote....!!
... uko sahihi; hiyo heading kwa haraka haraka inamsadifu mtoa mada kama guru wa masuala ya Ethiopia badala yake ukisoma content ni tofauti.
 
Serikali ya majimbo ni hatari sana kwa muungano wa kitaifa, CHADEMA 2020 ndio walikuwa sera yao hiyo ya kuunda serikali ya majimbo, kitu ambacho ni hatari sana, tunaona jinsi Ethiopia wakipambana na jimbo la Tigray, kwani Jimbo la Tigray lina Rais wake, jeshi na kila kitu kama serikali ilivyo, sasa inapambana na serikali kuu, yaani Federal Government..!!
Mpo wenyewe sasa hivi leteni maendeleo acheni stori !
 
Nguseroh unakosea kuwapendelea Watigray kisa eti "ni wazuri na smart". Ethnicity yeyote inayoleta ujuaji huwa siikubali kabisa na Abiy namuunga mkono sana.

Hizi jamii za Ethiopia pamoja na ugumu wake zinatakiwa ziisikilize Federal government. Vita ilitakiwa iwepo zamani pale jamii zilipoanza kumiliki majeshi, hakuna jambo la maana linatokea kila mmoja akiwa na jeshi lake.

Abiy namuunga mkono sana ila nina wasiwasi na Egypt kama haihusiki kwa siri. Kuna uzi nilichangia nikasema Egypt hawezi jiangaisha kupigana na Ethiopia wakati kuna ethnicity. Anatoa fedha Na silaha tu anatumia gharama kidogo na anakaa na majeshi yake kwake.

Naona tutakuwa na vita kama Biafra
hii inelekea kabisa kuwa kama Biafra. Kutakuwa na humanitarian crisis kubwa sana. Maana hao watigray ni seasoned fighters, hawawezi weka silaha chini kirahisi.
 
USA ni federal hata Urusi pia ni federal ila hazina migogoro hata Nigeria pia ni federal sema udini,ukabila na ufisadi uliokithiri ndio unawagharimu.

Fatilia hata China angalia namna utawala wao ulivyo utagundua hakuna huu mtindo wa kila kitu kuhodhiwa na serikali kuu.

Tatizo huku Tz watawala wana hofu ya kupoteza madaraka na ulaji hivyo wanatumia propaganda kuupiga vita na kuupaka matope huu mfumo wa wa serikali za majimbo.

Mbaya zaidi na raia wengi hawapendi kusoma na kutafiti hivyo wanadanganyika kirahisi na propaganda za watawala na wapambe wao.
Tanzania tena masomi ndio yamekuwa majinga majinga tu,yanaendeshwa kama bajaj mbovu.Hawaangaiki kutafiti wala kusoma..
 
Nguseroh unakosea kuwapendelea Watigray kisa eti "ni wazuri na smart". Ethnicity yeyote inayoleta ujuaji huwa siikubali kabisa na Abiy namuunga mkono sana.

Hizi jamii za Ethiopia pamoja na ugumu wake zinatakiwa ziisikilize Federal government. Vita ilitakiwa iwepo zamani pale jamii zilipoanza kumiliki majeshi, hakuna jambo la maana linatokea kila mmoja akiwa na jeshi lake.

Abiy namuunga mkono sana ila nina wasiwasi na Egypt kama haihusiki kwa siri. Kuna uzi nilichangia nikasema Egypt hawezi jiangaisha kupigana na Ethiopia wakati kuna ethnicity. Anatoa fedha Na silaha tu anatumia gharama kidogo na anakaa na majeshi yake kwake.

Naona tutakuwa na vita kama Biafra
Kweli siyo vizuri kuegemea upande wowote. Nimechanganyikana sana na Tigraens kwenye kubeba boksi waka ni influence sana. Ila wanawadharau wa Oromo. Utawasikia mabinti wa kitigray wakidai sitawhi kumdate muOromo.

Abiy anawakati mgumu sidhani hata analala vizuri. Huku Oromo huku Tigray. Hata mabomu anayoshusha Tigray anashusha kwa tahadhari.

Its already a divided nation.
Wasandawe je?
Bushmen
 
Yugoslavia ilivunjika na kutoa Mataifa kutokana na makabila, naona Ethiopia ikienda mlengo huo.

Ethiopia ina makabila makuu manne.

Oromo ndiyo kubwa kama 35 asilimia wanafuata Amhara asilimia 30, Tigray asilimia 6 na wasomali asilimia 6.

Hawa wengi wanaishi kwenye majimbo yao ambayo yana Rais na jeshi lao. Miaka ya mwanzoni mwa 90 watigray japo wachache waliangusha utawala wakijamaa nakuongoza nchi hadi alipokuja waziri mkuu wa sasa ambaye ni muoromo mwaka 2017.

Waoromo walinyanyaswa sana kipindi cha utawala wa watigray. Kwahiyo na sasa watigray wanaona kama wannyanyaswa.

Kimsingi Ethiopia kuna machafuko na vita ya kikabila. Ethiopia inaweza kusambaratika?
Note:
Naona wazungu wapo katika mkakati wa kuligawa tena bara la afrika hasa kwa nchi kubwa kubwa, itazame Sudan imeshagawanyika, Chad hapakaliki ,Nigeria anytime itagawanyika sababu ya mafuta yanayopatikana kaskazini, Mozambique tayari gesi imeanza kuleta shida, Ethiopia inaelekea ugawanyika, Libya tayari iko vipandevipande, Somalia tayari wana Somali land na Somalia nyingine, Congo hapakaliki, Angola aidha pana vita ama vuguvugu la kutoelewana sijaiweka Tanzania japo ni nchi kubwa afrika pamoja na South Africa labda sababu inawazungu wengi, na Misri hizi hazipo salama anytime zitatikisika whether you like it or no lazima zitatikiswa ni swala la muda tu, ila siku zinahesabika, naona whites wapo kwenye mission kali sana sijui kama tutapona Tanzania!
Sioni pa kuponea uenda varangati itaanzia kusini mwa Tanzania ila inabidi tuwe makini we're in danger naona dhahiri hatupo salama.
 
nadhani adui mkubwa wa Africa ni viongozi wake. Leo isingekuwa tamaa ya viongozi wa trigey unadhani Ethiopia kungekuwa na vurugu?
Tatizo Africa kuna makundi ya watu wanaamini wao ni bora na wanafaa kutawala bila kujali haki za wanaowatawala

Nadhani solutions ni waafrica kuwashughulikia viongozi wao kwa kutumia sheria ili kutotoa mwanya wa uingiliaji wa mataifa ya kigeni
 
Note:
Naona wazungu wapo katika mkakati wa kuligawa tena bara la afrika hasa kwa nchi kubwa kubwa, itazame Sudan imeshagawanyika, Chad hapakaliki ,Nigeria anytime itagawanyika sababu ya mafuta yanayopatikana kaskazini, Mozambique tayari gesi imeanza kuleta shida, Ethiopia inaelekea ugawanyika, Libya tayari iko vipandevipande, Somalia tayari wana Somali land na Somalia nyingine, Congo hapakaliki, Angola aidha pana vita ama vuguvugu la kutoelewana sijaiweka Tanzania japo ni nchi kubwa afrika pamoja na South Africa labda sababu inawazungu wengi, na Misri hizi hazipo salama anytime zitatikisika whether you like it or no lazima zitatikiswa ni swala la muda tu, ila siku zinahesabika, naona whites wapo kwenye mission kali sana sijui kama tutapona Tanzania!
Sioni pa kuponea uenda varangati itaanzia kusini mwa Tanzania ila inabidi tuwe makini we're in danger naona dhahiri hatupo salama.
Hii ni hofu ya kitu kisichokuepo.

Na watawala wamefanikiwa kuitumia propaganda kama hii ili kufanya watakayo na kusalia madarakani kwa kigezo cha ''kuwadhibiti mabeberu"

ACHA UOGA
 
Ndicho chadema walitaka kuigawa nchi na kutaka ili baadae tusambaratike kimakabila. Unapotengeneza umajimbo unaandaa nchi kusambaratika.
Umetoka nje ya mada kwa uccm wako...
Kweli uccm ni ushamba
 
Hii mbona inakuja kuwa sawa kabisa na hapa kwetu tz kuna watu Fulani wao walijiona kuwa ndo wamesoma na wanastahili kutawala.JP hakuteua hata waziri mmoja wakaleta mjadala kuwa JP ana shida gani na tigray mana hajatupa waziri mmoja jamani.
So saivi wanajiona kama wanaonewa ila enzi zao walijiona wao ndo wajanja wamesoma Kumbe walipewa madaraka afu wakafanya ofisi za serikali kama za familia zao.
Sie Wa promo, Amhara na huku sudani kusini Wa fugaji tu Wa ng'ombe.
😂😂
 
Ila tabia ni kama ngozi ya mwili uaifichiki. Huyo Abiy aluanza vizuri sana mpaka Waethiopia wanaokimbia nchi yak wakaanza kupata matumaini.

Naona ameshindwa ku-pretend, Amerudi kwenye rangi hali kwa kishindo sana.

Sisi makabila makubwa hatuna, ila tumechukua njia ya Ethiopia: Maisha magumu yatatunyoooosha hasa
Kuongoza taasis kubwa km hiyo ya uwazir mkuu si mchezo,unaweza ukaingia na mitazamo yako lkn wahafidhina wa taasis wakakueleza kuwa unaenda kinyume na malengo ya taasis na ndio maana wanasiasa wengi sana stail wanayoanza nayo huwa haidumu ref;awamu ya tat,nne,tano.....................
 
Suala sio kabila acha ujinga, suala ni majimbo yenye mamlaka na jeshi. Hayo majimbo Ethiopia yana majeshi yake na watawala wanaochaguliwa na wananchi na wanamamlaka ya kukatalia hata serikali kuu.

Ndio upumbavuu waliotaka kuanzisha Chadema
Majimbo yanamakabila we ndo uaje Ujinga, Jimbo la oromia wanakaa kabila la oromo, the same kwa amhara na tingrayan
 
Back
Top Bottom