Ethiopia umeme ni Shilingi elfu 10 kwa mwezi na maji shilingi elfu 10 kwa mwaka

bure inagharama
kodi tunayolipa katika kila bidhaa ndiyo gharama....Africa mashariki imejaa viongozi wezi. Ni eneo ambalo umeme na maji ni anasa kwa raia yake. Ofcourse ukiondoa drc, maana drc maji na umeme ni cheap
 
Anatumia jiko la umeme pasi AC etc. Je maji ni flat rate anarumia bila kujibana?

Ethiopia ndo ilivyo
Tv(Rising) nchi 32 na 43

Friji lita 250 (Samsung)

Pasi moja(Philips) kuna watoto wawili wananyoosha mara mbili kwa wiki

Sabufa moja

Feni mbili (moja ndio inatumika saana)

Jagi la umeme (wanachemsha maji ya kuoga na chai kila siku)

Mataa 11
Taa 3 ni wat 7
Taa 2 ni wat 9
Taa 4 ni wat 15
Taa 2 ni wat 38
 
Kwanza nimefurahi sana kuona mwanaume mwenzangu anakumbuka kwao.. na kuendelea kuhudumia hongera sana.. (Nje ya mada).
 
Sasa mbona wanakimbia nchi yao kila siku?
 
Ukiwa kwenye tarrif ya low income unatumia umeme kiasi gani? Na Kwa taarifa Yako haitakiwi kuvuka elfu 9 na unawasha miezi mitatu.

Nitumie umeme mkubwa kwani nyumbani Kuna mashine ipi ya kula umeme? Ya kufulia?
Mashine ya kufulia haili umeme, ikizidi sana ni Unit 1 na hapo umefua masaa 2

Fridge na Freezer hutumia unit 2 kwa siku
Feni hutumia 0.75 unit kwa siku.
TV hutumia 1.8 unit kama itawashwa masaa 24
 
Mashine ya kufulia haili umeme ikizidi sana ni Unit 1 na hapo umefua masaa 2

Fridge na Freezer hutumia unit 2 kwa siku
Feni hutumia 0.75 unit kwa siku.
TV hutumia 1.8 unit kama itawashwa masaa 24
Kama unajua Sasa unashangaa nini? Kipi Cha kula umeme Hadi izidi? Kama 9000 unapata zaidi ya unit 90 ,nyumba sio kiwanda au zizi
 
Acha uongo wewe, au labda hujui maji ya bahari hayatumiki kwa kazi yoyote hata ukiogelea lazima upate maji baridi ujisuuze ile chumvi.
Maji ya bahari yanatibiwa na yanakuwa safi kwa kunywa.
Process inaitwa Sea water desalination
Ila ni gharama sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…