Ethiopia umeme ni Shilingi elfu 10 kwa mwezi na maji shilingi elfu 10 kwa mwaka

Wazungu ndio wamewafundisha wizi na ufisadi viongozi wetu, Waethiopia hawajawahi kutawaliwa, ndio maana hujali sana wananchi wake.
 
CCM haipo hapa kuiendeleza hii nchi, tusidanganyane.
 
Mkuu huku Machame, kuna mto Kikavu na mto Weru weru mnachota bure bila malipo yoyote.
 
Ila inawezekana ikawa kweli maana nimegoogle based on 2022, unit moja sawa na usd 0.006 ambayo ukibadilisha kwa hela yetu ya kibongo ni Tsh 15 kwa matumizi ya nyumbani.

Halafu kuna wapuuzi ambao sasa ni mawaziri walikuwa wanampinga Magu kutetea bwawa la umeme, wengi hawa kupenda lile bwawa lisijengwe na usishangae hata baada ya lile bwawa la umeme kujengwa still gharama kwa unit hazito shuka,sababu wengine mahesabu yao yalikuwa kupiga hela kwenye gas.
 
Mkuu 10k ni unit79 kwa kaya masikini.

Halafu hao Idara ya maji kikawaida wanatuma bill kwa njia ya sms.

Kama unadaiwa ama unawadai, lazima watoe bili yenye takwimu ya matumizi pamoja na alibaki(ballonce).

Mantiki yangu hapa ni kwamba yapo matatizo katika gharama ya umeme pamoja na idara ya maji kutotoa ankara hata kama wewe unawadai matumizi.

Au kuna mambo umeyasahau mkuu, hasa tarakimu za bills husika.
 
Hiyo bei unayoisema ni ya mtumiaji gani na ana vifaa gani? TZ kuna wanaotumia sh 7,000 kwa mwezi. Hawa labda waa bulb mbili au tatu na wanawasha wanapohitaji tu. Sasa wewe una friji, jokofu, na vyombo chungu mbovu vya umeme unataka Sh. ulipe 10,000 kwa kwezi au mwaka!
 
Aisee kwa mwaka natumia umeme wa 180k na maji 300k
Hata huko Ulaya wanapotudanganya umeme ni bei che, nasikia wanalipa $100 kwenda juu kwa mwezi ambayo ni laki mbili na nusu!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…