Ethiopia: Waziri Mkuu atangaza kuongoza Vikosi katika mapigano

Ukiona hivyo ujue kaishiwa mbinu. My friend Ghadafi died in front!

Ushauri tu, awaachie madaraka Hao waasi maana soon watamhasi...

Westerners are devils!
"My friend!"

Gavana Joh anapenda kuitamka
 
Sijui ni kwanini anahatarisha maisha yake nafikiri anahitajika kukimbia mapema vinginevyo atakufa kijana...waasi wananguvu ya ziada ya ziada ambayo haijulikani imetoka wapi ....lakini hakustahili kutamka hayo maneno coz inajenga picha kuwa Yuko kwenye shock..maskini abbiy Ahmed hakujua Kama ingekuwa hivi...pia alipaswa kujua kuwa kwa nature ya Ethiopia kutokana kuwa na shida ya ajira chokochoko yeyote inaweza kuzaa Vita vya mda mrefu coz watu wamekata tamaa na maisha...so hawaogopi hata kifo..kwa Sasa Hana option Kama anataka kuishi hapa duniani akimbie ..Kama anataka kufa kijana aendelee kubaki ikulu...
 
Jamaa wa TPLF wapo mji wa Shewa Robit ambao ni kama maili 125 (kilomita 202) kutoka mji mkuu wa Addis Ababa.

Ni kama Dar-es-Salaam kwenda Morogoro wapita kidogo.

Wamsubiria bwana Abiy pale.

Ni kama vile mbinu wa wataliban ndizo zatumiwa na hawa jamaa wa TPLF.
 
Huu muungano wao hauwezi kudumu baada ya kumwangusha
 
Hujui na yeye kajipanga vipi hadi kasema hayo...........hapa bado kuna jamaa wa east na west acha kinuke itaonekana nani yupo na watu gani............jamaa nae alishakua anajiandaa muda kwa vita




 
Wao ndio walimtuma aanze kuwaua watigray hovyo hivyo?
Mimi siwajui hao wa Tigray lakini tujiulize leo wakija wasukuma wakasema wanataka kupewa madaraka zaidi serikali itafanya nini? au hao wa Zenji leo wasema tunataka nguvu zaidi watafanywa nini? Tigray ni sehemu ya Ethiopia tukianza kuunga mkono vikundi ndani ya nchi hata kwetu yanaweza kutufika nashangaa watu wanaounga mkono uasi ndani ya nchi. Hii issue imechochewa na nchi za nje pamoja na Egypt na issue yote ni haya maji ya Nile.
 
Huu muungano wao hauwezi kudumu baada ya kumwangusha
Wa Ethiopia wanaingizwa kwenye chaka hawatajuwa pa kutokea, haya makundi yana egenda zao na sponsor wao wa nje wana agenda zao wakimtoa yule nawapa miaka 20 watapigana kama yale ya kina Libya iko siku watamkumbuka huyu wanayemuona mbaya. watu wanatumika tu kwa faida ya watu wa chache. Likitokea Ethiopia na hata huku kwetu kuna watu watadhani kuingia madarakani tufanye kama waliyofanya wa Ethiopia hili jambo ni hatari halina maslahi na sisi wala nchi jirani kama Kenya tulitakiwa tukalizime hili sikubaliani kabisa kutokea kikundi cha uasi ndani ya nchi na chuki zangu zote kwa CCM lakini kuwaondoa kwa njia hizi hapana Big No.
 
Huyo waziri aachie ngazi mara moja, shabaha ya waasi ni kujitawala, sasa kitendo cha waziri mkuu kutangaza kuingia mstari wa mbele dhidi ya waasi, anachochea moto ambao hataweza kuuzima.
 
Huyo waziri aachie ngazi mara moja, shabaha ya waasi ni kujitawala, sasa kitendo cha waziri mkuu kutangaza kuingia mstari wa mbele dhidi ya waasi, anachochea moto ambao hataweza kuuzima.
Angekua hauwezi asingeuchochea........acha tuone mambo yanavyoenda
 
Anajipeleka kibla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…