wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Kwani yule mbabe aliyeshinda kwa kishindo 2020 Yuko wapi siku hizi?maana sijamsikia muda kidogo.Lisu anapelekewa moto na Amsterdam huko Ulaya afu anatoka nati zimelegea huko eti anakuja kugombea Uraisπππ nani atampa Urais?
Aisee kweli huwajui watigray.Mimi siwajui hao wa Tigray lakini tujiulize leo wakija wasukuma wakasema wanataka kupewa madaraka zaidi serikali itafanya nini? au hao wa Zenji leo wasema tunataka nguvu zaidi watafanywa nini? Tigray ni sehemu ya Ethiopia tukianza kuunga mkono vikundi ndani ya nchi hata kwetu yanaweza kutufika nashangaa watu wanaounga mkono uasi ndani ya nchi. Hii issue imechochewa na nchi za nje pamoja na Egypt na issue yote ni haya maji ya Nile.
Aisee kweli huwajui watigray.Mimi siwajui hao wa Tigray lakini tujiulize leo wakija wasukuma wakasema wanataka kupewa madaraka zaidi serikali itafanya nini? au hao wa Zenji leo wasema tunataka nguvu zaidi watafanywa nini? Tigray ni sehemu ya Ethiopia tukianza kuunga mkono vikundi ndani ya nchi hata kwetu yanaweza kutufika nashangaa watu wanaounga mkono uasi ndani ya nchi. Hii issue imechochewa na nchi za nje pamoja na Egypt na issue yote ni haya maji ya Nile.
Ok na kesho unga mkono ukisikia wa Masai na wahaya wanapigana. Hakuna Togray wala nini ile ni nchi ya Ethiopia ukianza waoromo sijui wa Tigray basi jiandae na wamakonde, wasukuma sijui wangoni ni ujinga huo ku support makabila hatari sana. Uchaguzi upo subirini mpigeni vote out.Aisee kweli huwajui watigray.
Then Kama watigray walitaka nguvu kuliko makabila mengine,imekuaje tena waoromo ambao Ni kabila lake huyo huyo Abiy nao wanapambana na serikali ya huyo Abiy?
Kwani Hilo bwawa la umeme hujui lilianza kujengwa na hao hao watigray? Ikawaje hao Egypt wasilete shida kipindi Cha watigray?
Nini wanachotaka? tuambie labda mimi sijuiAisee kweli huwajui watigray.
Then Kama watigray walitaka nguvu kuliko makabila mengine,imekuaje tena waoromo ambao Ni kabila lake huyo huyo Abiy nao wanapambana na serikali ya huyo Abiy?
Kwani Hilo bwawa la umeme hujui lilianza kujengwa na hao hao watigray? Ikawaje hao Egypt wasilete shida kipindi Cha watigray?
Uamzi wa Abiy ni sahihi. Kwanza unaleta molari kwa wapiganaji. Vita ni mwendelezo wa siasa. Ukishinda kwenye siasa utadhinda na vita.Sijui ni kwanini anahatarisha maisha yake nafikiri anahitajika kukimbia mapema vinginevyo atakufa kijana...waasi wananguvu ya ziada ya ziada ambayo haijulikani imetoka wapi ....lakini hakustahili kutamka hayo maneno coz inajenga picha kuwa Yuko kwenye shock..maskini abbiy Ahmed hakujua Kama ingekuwa hivi...pia alipaswa kujua kuwa kwa nature ya Ethiopia kutokana kuwa na shida ya ajira chokochoko yeyote inaweza kuzaa Vita vya mda mrefu coz watu wamekata tamaa na maisha...so hawaogopi hata kifo..kwa Sasa Hana option Kama anataka kuishi hapa duniani akimbie ..Kama anataka kufa kijana aendelee kubaki ikulu...
Simple tu,Abiy amewaua Sana,amewanyanganya vyeo huko serikalini,amefunga biashara zao,amehakikisha wanakufa kwa njaa etc so wanachotaka Ni kumtoa madarakani na kuhakikisha wao Kama minority 6% existence Yao inakuwepo tofauti na Sasa ambapo Abiy anataka kuwafuta kabisa.Nini wanachotaka? tuambie labda mimi sijui
Hizo kura subiri Abiy atazipiga akiwa ameshikishwa ukuta na watigray.Kajamaa kalijiona Ni mwamba saaaana hivi kanalia Lia tu πππππOk na kesho unga mkono ukisikia wa Masai na wahaya wanapigana. Hakuna Togray wala nini ile ni nchi ya Ethiopia ukianza waoromo sijui wa Tigray basi jiandae na wamakonde, wasukuma sijui wangoni ni ujinga huo ku support makabila hatari sana. Uchaguzi upo subirini mpigeni vote out.
Kwa hiyo unaamini kabisa wa kimtoa ndio mambo yatakuwa shwari? nchi haitatawalika watapigana miaka haya mambo sio kuyaongelea ki wepesi hivi. ziko sababu haya yametokea, huwezi kuna jimbo lina kikundi cha wapiganaji. Sasa hiyo mifano unayotolea yakitokea kwetu wakaja watu kusema tumepokonywa vyeo tuna njaa utaruhusu haya yatokee nchi yako? Leo wasukuma wakisema tumepokonywa vyeo sasa tunapigana utegemee serikali itakaa kimya. Haya ya Ethiopia ni mwanzo wa majanga ya muda mrefu sana yakiachwa yaendelee. shida za binadamu hatujifunzi kwenye makosa. Libya walisema kama haya upande mmoja unawaonea upande mwingine kila kitu Tripoli wakaungana wakamtoa Gaddafi, leo wana nini yale yale Tripoli wana Rais na Benghazi wana rais hakuna lolote walilofanya zaidi ya kuigawa nchi, lengo lao waliungana wakamtoa Gaddafi na walikuwa wanasema hivi hivi Tripoli wanatuonea kila kitu wao. Ethiopia itakuwa zaidi ya Libya kukosekana amani Ethiopia kutaleta athari mpaka nchi zetu za E. Africa. Tushangilie leo kesho tutakumbuka haya. South Sudan walifanya nini? wakamtoa wasiyemtaka wakaanza kumalizana wenyewe.Simple tu,Abiy amewaua Sana,amewanyanganya vyeo huko serikalini,amefunga biashara zao,amehakikisha wanakufa kwa njaa etc so wanachotaka Ni kumtoa madarakani na kuhakikisha wao Kama minority 6% existence Yao inakuwepo tofauti na Sasa ambapo Abiy anataka kuwafuta kabisa.
Kwa hio unadhani Ni Bora watigray watulie tu wauawe wote kisa tu wakimtoa Abiy Hali itakua sio nzuri?Kwa hiyo unaamini kabisa wa kimtoa ndio mambo yatakuwa shwari? nchi haitatawalika watapigana miaka haya mambo sio kuyaongelea ki wepesi hivi. ziko sababu haya yametokea, huwezi kuna jimbo lina kikundi cha wapiganaji. Sasa hiyo mifano unayotolea yakitokea kwetu wakaja watu kusema tumepokonywa vyeo tuna njaa utaruhusu haya yatokee nchi yako? Leo wasukuma wakisema tumepokonywa vyeo sasa tunapigana utegemee serikali itakaa kimya. Haya ya Ethiopia ni mwanzo wa majanga ya muda mrefu sana yakiachwa yaendelee. shida za binadamu hatujifunzi kwenye makosa. Libya walisema kama haya upande mmoja unawaonea upande mwingine kila kitu Tripoli wakaungana wakamtoa Gaddafi, leo wana nini yale yale Tripoli wana Rais na Benghazi wana rais hakuna lolote walilofanya zaidi ya kuigawa nchi, lengo lao waliungana wakamtoa Gaddafi na walikuwa wanasema hivi hivi Tripoli wanatuonea kila kitu wao. Ethiopia itakuwa zaidi ya Libya kukosekana amani Ethiopia kutaleta athari mpaka nchi zetu za E. Africa. Tushangilie leo kesho tutakumbuka haya. South Sudan walifanya nini? wakamtoa wasiyemtaka wakaanza kumalizana wenyewe.
Mimi naongelea nchi wewe unaongelea Abiy unaongea kama wewe Mtigray sijui maana hata jina siwajui mnadandia mambo bila kujuwa athari za haya mambo. ukumbuke huu uzi vizuri ndio utajuwa vita ni nini. Kuna kushinda vita vya silaha lakini vita vya kisiasa ni vingine.Kwa hio unadhani Ni Bora watigray watulie tu wauawe wote kisa tu wakimtoa Abiy Hali itakua sio nzuri?
Kwanini hamkumshauri Abiy aache tangu mwanzo kuwaua hao Jamaa hovyo hovyo? Kwanini hamkwambia Abiy tangu mwanzo aache kuanzisha vita asiyoiweza?
Tulieni apelekewe Moto mpk kichwa ikae sawa.
Sasa hutaki nimeongelee Abiy,hebu Niambie nimuongelee Nani ambae amesababisja Vita huko Ethiopia.?Mimi naongelea nchi wewe unaongelea Abiy unaongea kama wewe Mtigray sijui maana hata jina siwajui mnadandia mambo bila kujuwa athari za haya mambo. ukumbuke huu uzi vizuri ndio utajuwa vita ni nini. Kuna kushinda vita vya silaha lakini vita vya kisiasa ni vingine.
Mimi naongelea nchi wewe unaongelea Abiy unaongea kama wewe Mtigray sijui maana hata jina siwajui mnadandia mambo bila kujuwa athari za haya mambo. ukumbuke huu uzi vizuri ndio utajuwa vita ni nini. Kuna kushinda vita vya silaha lakini vita vya kisiasa ni vingine.
Mimi nadhani kuna wapinzani humu wanadhani hili wanaweza kufanya hapa sasa wajaribu waone.Sasa wewe nawe mwenzako anakupa chanzo cha hicho vita ni Abiy wewe unazungumzia Nchi.
Kwani hiyo nchi inaongozwa na Nani Kama sio Abiy.
Unataka Watigray waumizwe na kuuawa watulie kisa nchi sijui mavi gani.
Hatua waliyochukua ni nzuri Kwa watawala wapumbavu Kama Abiy
πππ Nilijua tu MATAGA uko kazini,umeshindwa kuvumilia imebidi uonyesha true colour yako.Nilikua nashangaa huyu mtu ana discuss vipi vitu asivyovijua πππMimi nadhani kuna wapinzani humu wanadhani hili wanaweza kufanya hapa sasa wajaribu waone.
Mimi nadhani kuna wapinzani humu wanadhani hili wanaweza kufanya hapa sasa wajaribu waone.
Tanzania hatujafika uko... Mbna Akina lisu w anafanya siasa ya kawaida tu. Nchi yetu Ina amaniSio kama kina Lisu wamepakatwa huko afu eti wanabweka [emoji1][emoji1]
Huyu kamanda sijui anawaza nini? Shida analeta urembo kwenye vita. Nimeona Kenya walipokuwa wanapambana na magaidi wa Al shabab maeneo ya Mombasa wameua sana watu, nimeona hapa Tanzania kipindi cha Magu wameua watu sana pwani hapo.PM amepaniki, aende tu kimkute kilichomkuta Idriss Deby.