Wewe jadili ya Maji na umeme ya Tigray yanakuhusu nini. Mataga ndio nini ki tigray hicho au? Hakuna la kunishinda nikiona mtu anasimamia uchama naanza kumuelewa huwa sibishani bila facts. Mimi msimamo wangu siungi mkono ujinga wowote ndani ya nchi wenye kuleta hatari ya amani ndio maana siungi uasi Ethiopia na nchi nyingine yoyote. Sasa kama unandoto hizo nadhani una haki ya kuota ujinga huu hautatokea E.Aπππ Nilijua tu MATAGA uko kazini,umeshindwa kuvumilia imebidi uonyesha true colour yako.Nilikua nashangaa huyu mtu ana discuss vipi vitu asivyovijua πππ
Nenda kasome message zango zote nyuma nimekuwa na ishutumu serikali kwa asilimia kubwa nikiona wanakosa ila penye mazuri nasifia kwa hiyo na msimamo lakini hauna itikadi yoyote history yangu imo humu JFπππ Nilijua tu MATAGA uko kazini,umeshindwa kuvumilia imebidi uonyesha true colour yako.Nilikua nashangaa huyu mtu ana discuss vipi vitu asivyovijua πππ
Wewe unaishi Tanzania? JPM aliwafanya nini? panya wote walijificha mwenyeketi wao tuandamane akajikuta yuko peke yake. Maalim Seif alikuwa ana ushawishi mkubwa kwao hakutoka hata mtu mmoja. Kaja Mama kambambika kesi mwenyekiti sijui mwezi wa ngapi yuko ndani kimyaa wote wako busy mitandaoni. kusimamia haki ujasiri sio kelele nyuma ya keyboard. Na yule mzee sikuwahi kumpenda ila leo ningependa angekuwa hai maana alijuwa kuwanyosha. Mama alitaka kuanza na upole wakamwambia Mama watakupanda kichwani matokeo tumeyaona. wakati mwingine tunahitaji watu makatili ili kunyoka.πππ
Sasa unawatisha ama nini?
Nawe fanya ya kina Abiy ili wakuonyeshe.
Sitetei wapinzani wapumbavu
Na pia sitetei viongozi ambao ni wapumbavu wanaofanya ukatili wakidhani watu wataogopa Madaraka Yao.
Unachopaswa kushauri ni kushauri Viongozi wasionee watu, wasiue watu, wasinyanyase watu, wasilete ubaguzi wa kikabila na Kidini.
Na sio mikwala Mbuzi ambayo hutolewa na wapumbavu.
Mama tu anawatosha mimi niwatishe na nini?πππ
Sasa unawatisha ama nini?
Nawe fanya ya kina Abiy ili wakuonyeshe.
Sitetei wapinzani wapumbavu
Na pia sitetei viongozi ambao ni wapumbavu wanaofanya ukatili wakidhani watu wataogopa Madaraka Yao.
Unachopaswa kushauri ni kushauri Viongozi wasionee watu, wasiue watu, wasinyanyase watu, wasilete ubaguzi wa kikabila na Kidini.
Na sio mikwala Mbuzi ambayo hutolewa na wapumbavu.
Mama tu anawatosha mimi niwatishe na nini?
Mama tu anawatosha mimi niwatishe na nini?
Yule yuko chini ya ardhi lakini mkisikia jina lake tu mnaingia kwenye mapango mnaona kama atafufuka.Kwani yule mbabe wa chato yuko wapi siku hizi?sijamsikia siku nyingi sana.,hahah.
Nilikuwa natetea sana haki hasa za wapinzani lakini unaona ngozi ya hawa wapinzani JPM alikuwa sahihi leo kidogo naanza kumuelewa kwanini alikuwa anafanya aliyoyafanya. Mungu amlaza mahali pema JPMKwani yule mbabe wa chato yuko wapi siku hizi?sijamsikia siku nyingi sana.,hahah.
Msisahau Yule Ni KanaliSio kazi yake kwenda mstari wa mbele, jamaa inabidi atulize wenge kwa sasa.
Upinzani wa Tanzania unaufananisha na TPLF?Nilikuwa natetea sana haki hasa za wapinzani lakini unaona ngozi ya hawa wapinzani JPM alikuwa sahihi leo kidogo naanza kumuelewa kwanini alikuwa anafanya aliyoyafanya. Mungu amlaza mahali pema JPM
Kweli ametokea jeshini ila kwa sasa ni Rais,anatakiwa ajikite kwenye mipango ya kuondoa waasi na namna ya utekelezaji sio yeye mwenyewe kuwa mtekelezaji.Msisahau Yule Ni Kanali
Sio raia ingawa wazo la kwenda Front sio zuri attention itahamia Kwake badala ya kupanga vita...
Kwa hio ubabe uko wapi Sasa?Nilikuwa natetea sana haki hasa za wapinzani lakini unaona ngozi ya hawa wapinzani JPM alikuwa sahihi leo kidogo naanza kumuelewa kwanini alikuwa anafanya aliyoyafanya. Mungu amlaza mahali pema JPM
πππ amewakuta watoto wa mjini na amewaacha wako wanadunda tu.Yule yuko chini ya ardhi lakini mkisikia jina lake tu mnaingia kwenye mapango mnaona kama atafufuka.
Watoto wa mjini? mikia nyuma mpaka leo mnauguza vidonda. Mtoto gani wa mjini katawala Tanzania hakuna na wala hakutakuwa na sio Rais tu hata mawaziri hakuna.πππ amewakuta watoto wa mjini na amewaacha wako wanadunda tu.
Makonda tu aliwakomesha eti watoto wa mjini π€£ π€£ π€£πππ amewakuta watoto wa mjini na amewaacha wako wanadunda tu.
ππππ Mimi ndio jiwe Tena jiwe kweri kweri,Kiko wapi ππππMakonda tu aliwakomesha eti watoto wa mjini π€£ π€£ π€£
Watoto wa mjini? mikia nyuma mpaka leo mnauguza vidonda. Mtoto gani wa mjini katawala Tanzania hakuna na wala hakutakuwa na sio Rais tu hata mawaziri hakuna.
Watoto wa mjini? mikia nyuma mpaka leo mnauguza vidonda. Mtoto gani wa mjini katawala Tanzania hakuna na wala hakutakuwa na sio Rais tu hata mawaziri hakuna.