Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Mtanikumbuka 😂😂😂😂😂 - 🐼Impliedly anamlinda. Magufuli angesharuka naye huyo, tena alivyopenda sifa angemchambua kwenye mkutano wa hadhara
KiainaMtanikumbuka 😂😂😂😂😂 - 🐼
Na jezi Wapewe Makolo FC na Utopolo SC 😂Kuchoma jezi ndiyo uhujumu uchumi wenyewe,solution alimwe fidia tu.
Ule mzigo ni wa HSC na inajulikana uhusiano uliopo kati yao na Msoga family,na tunajua remote iliko.Sakata la jezi feki za Simba, Yanga na Taifa Star zenye thamani ya Sh.12 Bilioni zilikamatwa Bandari ya DP World (zamani ikiitwa Bandari ya Dar es salaam). Serikali ikatoa siku 7 mhusika ajulikane na jezi hizo feki kutiwa kiberiti. Hata hivyo zipo taarifa kuwa mhusika wa jezi hizo ambaye ni Mzanzibari ambaye zamani alikuwa promota maarufu wa mchezo wa ngumi ana uhusiano wa karibu na Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ameagiza jezi hizo ziachwe ziingie sokoni kuharibu biashara ya vilabu husika. Kama ni kweli basi Samia ni mhujumu uchumi. Tukutane 9/11/2023
Mtafute promota wa ngumi maarufu Zenji kabla mchezo huo kupigwa ban visiwani hapo. Vipi wewe mbona codes za wazi mno?Weka jina la mzanzibar
Tuwe wa kweli mzigo wa 12 billions siyo wa mtu mlalahoi lazima watafuna nchi wapo mule
Kwani ziliruka kutoka China kwenye makontena bila kupitia DP World?Mzigo ulikamatwa ghalani sio bandarani
Pasi na shaka isiyo yoyoteMkuu, ukiambiwa uthibitishe utaweza? Tuache kupakizia watu lawama bila ushahidi
Halafu wanakuja wachangiaji na kuanza kulaumu na matusi juu kwa habari ya ''Inasemekana''Hii ndo JF..
Mtu anakuja na tuhuma...na hukumu hapo hapo chanzo cha taarifa "inasemekana"..
Kweli Uhuru umezidi sasa
Impliedly anamlinda. Magufuli angesharuka naye huyo, tena alivyopenda sifa angemchambua kwenye mkutano wa hadhara
Naunga mkono hoja, kuchoma JEZI ni unyama.Kuchoma jezi ndiyo uhujumu uchumi wenyewe,solution alimwe fidia tu.