Eti aliyeingiza jezi feki kutoka China analindwa na mtu kutoka juu?

Samia ni member wa kikundi cha mafisadi papa wanaoitafuna taifa bila huruma. Ndio maana hata wanaopigiwa kelele za wizi yaye anazidi kuwapaisha
 
Mchezo wa ngumi ulipigwa marufuku Zanzibar tangu Mzee Karume yupo hai, sasa ni promota gani huyo wa enzi hizo?
Wacha uongo.
Baki hivyo hivyo wenzio washafungua Kodi. We lala.
 
Acha kumchafua rais we kahaba,umetumwa 'na Ttec au!?
 
Kiongozi ni binadamu hata ww angekuwa ndugu yako anaenda kutundikwa ungefanya yote,hujaskia Kuna kiongozi aliwapa wachinazi bandari Ili wasimnyonge dogolas aliyebambwa na sembe huko mashariki ya mbali?

Jiwe alisema "mtanikumbukaaaa""
 

Yaani unaamka tu asubuhi, hujapiga hata mswaki, with hopeless mind unaanza andika upuuzi wako
 
Yaani miradi inapigwa huko kwenye Halmashauri sisi tunadeal na jezi "feki"!
Khaaaah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…