Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Wadau labda huenda mimi nazeeka Vibaya au nimepitwa na wakati
Kwa mtazamo wangu naona kama haiko poa mwanaume kujisave picha yako kwenye screen ya simu halafu kila wakati unajicheki au mimi ndio sielewi?
Juzi kati nimeona kuna mwanaume mtu mzima kabisa sura Ina Ina mikunjo ya ngozi kama yote halafu kasave picha yake pale nikamwona ajicheki time to time,daah kama anazingua hivi au mimi ndio nazingua nini?
Au ndio kila mtu aishi maisha yake...
Ni hayo tu!