Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
- Thread starter
- #21
Uko kama mimi expert wangu,mpaka huwa nawaambia ndugu zangu nataka Nikifa wahadithie tu ila wasiwe na picha yanguBinafsi mambo ya picha yamenishinda sana.
Uko kama mimi expert wangu,mpaka huwa nawaambia ndugu zangu nataka Nikifa wahadithie tu ila wasiwe na picha yanguBinafsi mambo ya picha yamenishinda sana.
Yani saivi kuwa mwanaume ni kazi sana ukiteleza kidogo tu umetafsiriwa tofauti poleni kaka zanguHuyo home boy katisha sana🤣🤣
Kwa hiyo haumiliki kitambulisho aina yoyote?Uko kama mimi expert wangu,mpaka huwa nawaambia ndugu zangu nataka Nikifa wahadithie tu ila wasiwe na picha yangu
Kuichungulia taswira/picha yako au kutumia emojis?Nonsense
Unayo nini kwenye screen saver😁😁Nonsense
Sio latest ni za mdaKwa hiyo haumiliki kitambulisho aina yoyote?
Huwa haukiangalii/hauviangalii?Sio latest ni za mda
😁😁 ni shida kwakweli,wengine tukishajichek asubuhi imetoka hiyoYani saivi kuwa mwanaume ni kazi sana ukiteleza kidogo tu umetafsiriwa tofauti poleni kaka zangu
Simu yake, sura yake, hajakulazimisha umuangalie, wewe kama si kuzeeka vibaya na ushamba tu tatizo lako nini?View attachment 3456399
Wadau labda huenda mimi nazeeka Vibaya au nimepitwa na wakati
Kwa mtazamo wangu naona kama haiko poa mwanaume kujisave picha yako kwenye screen ya simu halafu kila wakati unajicheki au mimi ndio sielewi?
Juzi kati nimeona kuna mwanaume mtu mzima kabisa sura Ina Ina mikunjo ya ngozi kama yote halafu kasave picha yake pale nikamwona ajicheki time to time,daah kama anazingua hivi au mimi ndio nazingua nini?
Au ndio kila mtu aishi maisha yake...
Ni hayo tu!
Ndio kujiangalia kila wakati?Kujiuliza sana ni nini sawa au si sawa kwa mwanaume kufanya hata kwa masuala madogo kama hayo. Ni ishara kwamba una insecurities katika uanaume wako kwa hivyo maswali au kutafuta mipaka kama hiyo inaakisi mashaka na hofu uliyonayo kiasi cha kutafuta namna za kuwa " Mwanaume zaidi kuliko kuishi kwa kujiamini kama mwanaume yoyote". 🙏🏽
Kwa hiyo,una maana mtu akiwa anajishuku sana,anaweza kuulizwa jinsi yake akababaika kuitaja?Kujiuliza sana ni nini sawa au si sawa kwa mwanaume kufanya hata kwa masuala madogo kama hayo. Ni ishara kwamba una insecurities katika uanaume wako kwa hivyo maswali au kutafuta mipaka kama hiyo inaakisi mashaka na hofu uliyonayo kiasi cha kutafuta namna za kuwa " Mwanaume zaidi kuliko kuishi kwa kujiamini kama mwanaume yoyote". 🙏🏽
Nitakuwa nazeeka Vibaya aiseeSimu yake, sura yake, hajakulazimisha umuangalie, wewe kama si kuzeeka vibaya na ushamba tu tatizo lako nini?
Usiniambie upo kawe afande fetty🤣🤣Tuache tafadhal tuache 😁
Nipo kawe mapema sana kuhakikisha usalama wa raia na mali zaoUsiniambie upo kawe afande fetty🤣🤣
Hiyo sheria imetungwa mwaka mmoja baada ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.Walilenga kuepuka nini hasa?Sio sawa kabisa. Mwanaume kweli anatakiwa kujiona kwenye reflection ya macho ya wengine tu, sio zaidi ya hapo. Vilevile mwanaume kweli hatakiwi kumiliki simu yenye camera, anatakiwa kutumia simu za tofali zenye antena zilizotoka miaka ya 90. Vilevile mwanaume kweli hatakiwi kabisa kuangalia mwanaume mwengune akiangalia picha yake kwa ukaribu kiasi cha ku-notice mikunjo ya sura yake. "SHERIA ZA UANAUME KIFUNGU 780A, (1965)"