Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Matumizi mabaya hayo, ndio yale ya kupita bila kupingwaNayo Ina ubaya?
Matumizi mabaya hayo, ndio yale ya kupita bila kupingwaNayo Ina ubaya?
Ni yale yale, unaweka picha nyumbani kwako ili iweje?Nakataa ni vitu viwili tofauti,picha ipo home kwako lkn simu unatembea nayo 24/7
Naona tofauti yenu wewe na huyo bwana ni namna mnavyotafsiri mambo.View attachment 3456399
Wadau labda huenda mimi nazeeka Vibaya au nimepitwa na wakati
Kwa mtazamo wangu naona kama haiko poa mwanaume kujisave picha yako kwenye screen ya simu halafu kila wakati unajicheki au mimi ndio sielewi?
Juzi kati nimeona kuna mwanaume mtu mzima kabisa sura Ina Ina mikunjo ya ngozi kama yote halafu kasave picha yake pale nikamwona ajicheki time to time,daah kama anazingua hivi au mimi ndio nazingua nini?
Au ndio kila mtu aishi maisha yake...
Ni hayo tu!
Ngoja nipite kwenye ofisi ya kijiji chetu niwapatie huo ushauri.Matumizi mabaya hayo, ndio yale ya kupita bila kupingwa
Nayo ni shida tu lkn walau waeza Sema labda ni kupamba nyumba au utamaduni wa familia wa familia lkn sio simu bwanaNi yale yale, unaweka picha nyumbani kwako ili iweje?
Huenda ukawa sahihiNaona tofauti yenu wewe na huyo bwana ni namna mnavyotafsiri mambo.
Bandika picha ya yule anayekupa ugaliNgoja nipite kwenye ofisi ya kijiji chetu niwapatie huo ushauri.
Kila unapomuangalia unakumbuka kuwa na heshima juu yake🤣🤣Bandika picha ya yule anayekupa ugali
Huwa inaanzia kwenye vitu vidogo kwenda vikubwa; wengine wanajijengea sanamu zao n.kNayo ni shida tu lkn walau waeza Sema labda ni kupamba nyumba au utamaduni wa familia wa familia lkn sio simu bwana
Lengo kuu la kubandika picha ya kiongozi ofisini huwa ni nini?Kila unapomuangalia unakumbuka kuwa na heshima juu yake🤣🤣
Kweli kabisa iko hivyo siku zoteHuwa inaanzia kwenye vitu vidogo kwenda vikubwa; wengine wanajijengea sanamu zao n.k
Ukiniuliza mimi,ni utambulisho kuwa huyu ndie Rais wa sasa,ndio maana huwezi kuta picha ya mama na jk au marehemu jiweLengo kuu la kubandika picha ya kiongozi ofisini huwa ni nini?
Yeah hiyo ndio inaleta utofauti wa kisifa baina ya mtu na mtu.Huenda ukawa sahihi
A very mature answer from a mature man.Mimi baba ila kama umesema makusudi kuniudhi pole sana niko ngangali emotionally kama chuma
Ni sawa lkn mambo mengine sio hulka za kiume kwa mtazamo wanguYeah hiyo ndio inaleta utofauti wa kisifa baina ya mtu na mtu.
SawaUkiniuliza mimi,ni utambulisho kuwa huyu ndie Rais wa sasa,ndio maana huwezi kuta picha ya mama na jk au marehemu jiwe
👊👊A very mature answer from a mature man.
Keep it up!