Eti hii ishu Mwanaume kuweka picha yake kwenye screen saver Imeakaaje

SAwa basi chukua ya pastor kapola uweke km hutaki ya kwako.
 
Haiko poa simu ulimsaidia kununua?
Em acheni kufanya maisha yawe magumu, kila mmoja aishi atakavyo..!!
 
View attachment 3456399

Wadau labda huenda mimi nazeeka Vibaya au nimepitwa na wakati

Kwa mtazamo wangu naona kama haiko poa mwanaume kujisave picha yako kwenye screen ya simu halafu kila wakati unajicheki au mimi ndio sielewi?

Juzi kati nimeona kuna mwanaume mtu mzima kabisa sura Ina Ina mikunjo ya ngozi kama yote halafu kasave picha yake pale nikamwona ajicheki time to time,daah kama anazingua hivi au mimi ndio nazingua nini?

Au ndio kila mtu aishi maisha yake...

Ni hayo tu!
Wewe unashangaa hiyo? Kuna midume mizima over 40 inaadhimisha birthday ambayo Huwa ni shughuli ya wanawake na watoto
 
View attachment 3456399

Wadau labda huenda mimi nazeeka Vibaya au nimepitwa na wakati

Kwa mtazamo wangu naona kama haiko poa mwanaume kujisave picha yako kwenye screen ya simu halafu kila wakati unajicheki au mimi ndio sielewi?

Juzi kati nimeona kuna mwanaume mtu mzima kabisa sura Ina Ina mikunjo ya ngozi kama yote halafu kasave picha yake pale nikamwona ajicheki time to time,daah kama anazingua hivi au mimi ndio nazingua nini?

Au ndio kila mtu aishi maisha yake...

Ni hayo tu!
Ni vitabia vya kike,ni sawa na kujiangalia kwenye kioo kila wakati,
Picha ya dume inakaa kwenye profile ya WhatsApp, telegram, LinkedIn, nk, Ila wengine huko kote tumeweka logo za kampuni
 
Nimeipenda hii
 
Back
Top Bottom