aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 8,724
- 24,474
Ngoja "Proud to be..."Hili swala la mwanaume kula na mkono inakuaje?
Unakulaje na mikono hivi mwanaume kwanza unaanza kwa kunawa mikono, inafuata unasugua mikono
Wengine wanakunguta mikono
Ni hayo tu
Waje hapa š¤£š¤£
Niliisikia sehemu kula na kijiko ni Haram