Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
😂😂😂Yatakuwepo mengine kajisahauUna uhakika "ni hayo tu !?"
Kuna mambo mengine umesahau au , mbona kama kuna kitu ulitaka kusemaView attachment 3456399
Wadau labda huenda mimi nazeeka Vibaya au nimepitwa na wakati
Kwa mtazamo wangu naona kama haiko poa mwanaume kujisave picha yako kwenye screen ya simu halafu kila wakati unajicheki au mimi ndio sielewi?
Juzi kati nimeona kuna mwanaume mtu mzima kabisa sura Ina Ina mikunjo ya ngozi kama yote halafu kasave picha yake pale nikamwona ajicheki time to time,daah kama anazingua hivi au mimi ndio nazingua nini?
Au ndio kila mtu aishi maisha yake...
Ni hayo tu!
Weee😁😁😂😂😂Yatakuwepo mengine kajisahau
Ni hayo tu!Kuna mambo mengine umesahau au , mbona kama kuna kitu ulitaka kusema
Nimekupata expert wanguFuata yako,,,,,Utaishi kwa amani !
Nimepandacho mimi wewe huwezi kukipenda, kinyume chake ni vivyo hivyo !
#tuishi
😂😂😂Sema kweli!?🤭Weee😁😁
Sawa mwanadada,,,, usichungulie tena wallpaper za watu ! Wazungu wanasema ni privacy (tamka praivesi) 😊😃Nimekupata expert wangu
Anapenda kujiangalia sura yake, shida iko wapi 😅View attachment 3456399
Wadau labda huenda mimi nazeeka Vibaya au nimepitwa na wakati
Kwa mtazamo wangu naona kama haiko poa mwanaume kujisave picha yako kwenye screen ya simu halafu kila wakati unajicheki au mimi ndio sielewi?
Juzi kati nimeona kuna mwanaume mtu mzima kabisa sura Ina Ina mikunjo ya ngozi kama yote halafu kasave picha yake pale nikamwona ajicheki time to time,daah kama anazingua hivi au mimi ndio nazingua nini?
Au ndio kila mtu aishi maisha yake...
Ni hayo tu!
Na,ikumbukwe,akimtazama mwanamke tu,anakuwa ametenda dhambi ya uzinzi.Anapenda kujiangalia sura yake, shida iko wapi 🤣🤣🤣🤣
Haujajisahau?Binafsi mambo ya picha yamenishinda sana.
Mimi baba ila kama umesema makusudi kuniudhi pole sana niko ngangali emotionally kama chumaSawa mwanadada,,,, usichungulie tena wallpaper za watu ! Wazungu wanasema ni privacy (tamka praivesi) 😊😃
Huyo home boy katisha sana🤣🤣Kila mmoja afanye anachopenda kikubwa asivuke mipaka
Kuna mwingine alisema hakuna ulazima wa mwanaume kuwa na app ya 📷 maana mwanaume anatakiwa apigwe risasi sio picha 🚮