Eti huyu ni mke wa mtu,tena kaolewa kwa ndoa ya kanisani kabisa na watu wakakusanyika ukumbini kuhudhuria sherehe ya harusi yake.

Nakushauri usiamini sms. Utachat na mume wa mtu na sio mke wa mtu.
Kama 💯 ni mke wa mtu hakikisha unatumia maxungumzo au f2f. Na usijenge mazoea ya kuongea mno na vitu vya watu.
 
Haya maswali ya kisenge sana kumuuliza mwanamke yani usipende kuuliza tena kwa walio mature watakuona mwenzao coz hujiamini
 
Ukute unatumia WhatsApp mbili kujichatisha afu unakuja kutuchora
 
Form 4 wamemaliza wapo mitaani. Tutaendelea kujionea hizi fujo.
 
Achana nae kaka kwan hujasikia adhabu za kutembea na wake za watu. Mie nakushaur kama mdogo wako achana nae kabla aibu haija kufka
 
Siwez bisha aisee kunamtu namuona Yan anaendesha mahusiano nje ya ndoa km yupo single ajabu akirud kushenyentwa anampost mumew I love u my husband😄😄😄
Kwahiyo unanishauri mdogo wako nisioe sio
Ndo ni utapel sio ?
 
Wale jamaa wa kataa ndoa wanazidi kujichimbia kileleni kabisa mwa msimamo wa ligi.
Sema we jamaa nae unaonekana ni wale wanaume wa vijisifa au kujisikia flani hivi.
Sometimes usiishi sana kwa kuamini vitu vya humu mtu anaweza jifanya anakataa ndoa humu na kwa taarifa yako tu ukakuta ana ndoa na anapelekeshwa hasa... Niamini
 
Wanaooa au kuolewa,jamani wakae kwenye UAMINIFU,ili kuinspaya ambao hawajaoa au kuolewa.
Yaani UMALAYA umeshika hatamu kwakweli.
 
Mwambie ni yeye tu na pepo lake tu la ngono sisi hatukutaki mbona 😊🤣
 
Ushaingia kwenye system, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe nae ndio wale wale Mchele mchele...kwaiyo umemuuliza kabisa anakupendea nini?
Angesema Tako je ungejisikiaje.
Grow up Man
 

Feliz Navidad 🎄
 
Duu haogopi kama simu inaweza potea akaaibika! Sijui nikukosa malezi mabovu au hawajitambui!
Hana hata uoga, hizo sms zinachekesha wengine wanalia kabisa hawapewi kipaumbele.!!
 
Simple principle.kama ukilala na mke /mume wa mtu ujue na ww wako ataliwa tuu na utajua hata by coincidence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…