Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakushauri usiamini sms. Utachat na mume wa mtu na sio mke wa mtu.Merry Christmas everyone out there.
Kuna mwanamke tulikutana tu somewhere mwanzo alivyojiweka me sikujua kama ni mke wa mtu coz alinificha,so nikachapa mara moja then nikaja nikagundua ni mke wa mtu me nikampotezea,sasa ni hataki kuniacha ni kwamba kaniganda sana.
Hapa chini ni conversation yangu na yeye jioni hii,yani hizi ndoa mliooana kazi mnayo kubwa sana.
Haya maswali ya kisenge sana kumuuliza mwanamke yani usipende kuuliza tena kwa walio mature watakuona mwenzao coz hujiaminiMerry Christmas everyone out there.
Kuna mwanamke tulikutana tu somewhere mwanzo alivyojiweka me sikujua kama ni mke wa mtu coz alinificha,so nikachapa mara moja then nikaja nikagundua ni mke wa mtu me nikampotezea,sasa ni hataki kuniacha ni kwamba kaniganda sana.
Hapa chini ni conversation yangu na yeye jioni hii,yani hizi ndoa mliooana kazi mnayo kubwa sana.
Form 4 wamemaliza wapo mitaani. Tutaendelea kujionea hizi fujo.Merry Christmas everyone out there.
Kuna mwanamke tulikutana tu somewhere mwanzo alivyojiweka me sikujua kama ni mke wa mtu coz alinificha,so nikachapa mara moja then nikaja nikagundua ni mke wa mtu me nikampotezea,sasa ni hataki kuniacha ni kwamba kaniganda sana.
Hapa chini ni conversation yangu na yeye jioni hii,yani hizi ndoa mliooana kazi mnayo kubwa sana.
Kwahiyo unanishauri mdogo wako nisioe sioSiwez bisha aisee kunamtu namuona Yan anaendesha mahusiano nje ya ndoa km yupo single ajabu akirud kushenyentwa anampost mumew I love u my husband😄😄😄
Tulia kwanza mdogowangu 😁Kwahiyo unanishauri mdogo wako nisioe sio
Ndo ni utapel sio ?
Sometimes usiishi sana kwa kuamini vitu vya humu mtu anaweza jifanya anakataa ndoa humu na kwa taarifa yako tu ukakuta ana ndoa na anapelekeshwa hasa... NiaminiWale jamaa wa kataa ndoa wanazidi kujichimbia kileleni kabisa mwa msimamo wa ligi.
Sema we jamaa nae unaonekana ni wale wanaume wa vijisifa au kujisikia flani hivi.
Janaume takataka hilo!Wanaume Huwa hatuulizi.. Kwanini unanipenda, unanipendea nn?.
Daahh umetuangusha.
Anyway huyo ni Mke Kila MTU.
Wewe nae ndio wale wale Mchele mchele...kwaiyo umemuuliza kabisa anakupendea nini?Merry Christmas everyone out there.
Kuna mwanamke tulikutana tu somewhere mwanzo alivyojiweka me sikujua kama ni mke wa mtu coz alinificha,so nikachapa mara moja then nikaja nikagundua ni mke wa mtu me nikampotezea,sasa ni hataki kuniacha ni kwamba kaniganda sana.
Hapa chini ni conversation yangu na yeye jioni hii,yani hizi ndoa mliooana kazi mnayo kubwa sana.
Nimeipenda hiiWanaume Huwa hatuulizi.. Kwanini unanipenda, unanipendea nn?.
Daahh umetuangusha.
Anyway huyo ni Mke Kila MTU.
Merry Christmas everyone out there.
Kuna mwanamke tulikutana tu somewhere mwanzo alivyojiweka me sikujua kama ni mke wa mtu coz alinificha,so nikachapa mara moja then nikaja nikagundua ni mke wa mtu me nikampotezea,sasa ni hataki kuniacha ni kwamba kaniganda sana.
Hapa chini ni conversation yangu na yeye jioni hii,yani hizi ndoa mliooana kazi mnayo kubwa sana.
Hana hata uoga, hizo sms zinachekesha wengine wanalia kabisa hawapewi kipaumbele.!!Duu haogopi kama simu inaweza potea akaaibika! Sijui nikukosa malezi mabovu au hawajitambui!