Eti (king'asti)umeolewa au upo single?mwenzio sijiwezi huku!!!

Jamani ongea neno moja tu ili ninenepe maana hapa tayari nshakua kama uzi,na hiki kimvua cha alfajiri cha dar basi we!?hatari tupu kimwana.

Usihofu nina hazina ya kutosha ya mapenzi inakungoja wewe mahabuba.

Katu siwezi ipeleka kwingine 'mpenzi'

Nikiiona comment yako hapa moyo wangu unaruka kichurachura lol!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mie sikuona why moyo wangu niupe tabu,so nikaamua kwenda kwenye point moja kwa moja.

But ikishindikana ntajaribu kutumia hiyo njia uliyonishauri.

Thank you karibu sana mkuu!
 
Sasa Pasco wote tuna midlife crisis tutawezana kweli? Mie ombi langu ni la urafiki wa kalamu ila ukiamua kuwekatuapartments lwa hela za sukita nitakuhifadhia kwa ajili ya bail kama mambo yakichacha. Ila kwa mapenzi tutachoshana manake mie hamu yangu ni hadi mvua inyeshe, na wewe tractor hadi liwake linategemea jua kuwaka. Mi natafuta kiserengeti boy ambacho nikikipigia simu kinakuja fasta manake hela ya bajaj namtumia kwa mpesa. Inabidi tureview terms kwanza
 
Last edited by a moderator:
Kama hauna will kama ile ya mayalla itakula kwako aisee.una mwanasheria ama nikupe wa kwangu Ruttashobolwa akuandikie will? Japo chaji yake inabidi umpe kiwanja ama kanyumba kamoja. Mambo ya laki 2 yalishapitwa na wakati.
Huo moyo acha uruke kichurachura kwanza ujiepushe na magonjwa ya uzeeni.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahahahahahaha!Hahahahahahahahahahahahaa!

Ushanipata kimwana.

Mie ni miongoni mwa wale vijana wa mwaka jana wa mh Kawambwa ambao tupo mtaani bila deal za kuelewaka.

Hata bajaj mie sihitaji,yani ukinipigia simu tuu ni mguu kisogoni.

Just say some thing mammy I'm still waiting 4u!come on baby!
 
Last edited by a moderator:
Hahaha best. Kijana akinywa maji ananiona kwenye grass (kutohoa mbaya sana. Asije akaniona kwenye crass sasa).
Sijablush siku mingi naona nyota ya jaha imeniangukia.

Plz usinibanie ule wimbo wangu puleeeez! I love dancing to it lol
Siri sirari nakuwaza wewe kimwana King'asti, kama bado uko single nifahamishe ili tugusanishe nanihii lol!!! Unalo hilo Best
 
Hebu kubali yaishe basi?!

Nshaandaa kigelegele.

 
Last edited by a moderator:
Kwako wewe sema lolote kimwana!
We ndiye mwisho wa reli bhana!
Hapa niko full na wala sina pesa za mawazo mie.

Huyo jamaa yako kishapata mgao wake that's why humuoni hapa,sasa umebaki wewe tuu.

Shoka1 mbuyu chini.
 
Last edited by a moderator:
hii thread ihamishiwe chit chat huku si mahala pake.
 


Jamani mtoto mzuri hivi akinipiga risasi sidhani hata kama nitasikia maumivu, na wala sifi ng'o! hahahahah...........

Hahahaha JF kuna kila aina ya vituko.Hivi Kumbe Mtu ukipigwa risasi na mtoto mzuri husikii maumivu eeeeh?@Smile na wewe nipige risasi Sasa.lol
 
Golden chance never come twice.......mtu kashaenda front page watazamaji tuone mwisho wake kama ni maumivu ya moyo au furaha ya moyo... wapi King'asti
 
Last edited by a moderator:

hahahahaha. We mwanamke ni kchaa ujue
 
Last edited by a moderator:
Kitendo cha hii thread kuhamishiwa Chit Chat ni pigo kwa mandieta
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…