Eti (king'asti)umeolewa au upo single?mwenzio sijiwezi huku!!!

Nna vigezo kaka. Na siko desperate. Nimetulizwa nikatulia mie mtoto wa kike. Sina tamaa
nikitaka greener pastures i take my wattering can kama dawasco wamamikatili.

Oya afu kumbuka leo ni wikiend
 
Nna vigezo kaka. Na siko desperate. Nimetulizwa nikatulia mie mtoto wa kike. Sina tamaa
nikitaka greener pastures i take my wattering can kama dawasco wamamikatili.

Njoo bas chemba tumalize bifu. Ujue mwenzio sina amani
 
Nna vigezo kaka. Na siko desperate. Nimetulizwa nikatulia mie mtoto wa kike. Sina tamaa
nikitaka greener pastures i take my wattering can kama dawasco wamamikatili.
King'asti apo una maanisha una kidumu tayari cha kumwagilia in case dawasco wameshindwa kukupa huduma?😕😕😎
 
Last edited by a moderator:
Ni vitu viwili tu vitutambulishavyo JF...
1. Avatar
2. ID
Sasa huwa napata sana tabu mtu atongozaye hivyo vitambulisho viwili maana the bottomline yajulikana vyote ni feki.
 
Ni vitu viwili tu vitutambulishavyo JF...
1. Avatar
2. ID
Sasa huwa napata sana tabu mtu atongozaye hivyo vitambulisho viwili maana the bottomline yajulikana vyote ni feki.

Ulimwengu wa dijital na vioja vyake
 
Kheeeeerrrrrrrrr!
Paw mi nimesoma tu sijachangia kitu.kwanza uzi wenywe nimeuona leo!
Aftena mandieta hata simjui hakyamama vile.mi nlikuwa najipitia zangu ndo nikakuta kina Nicas Mtei Ruttashobolwa, FP na Preta wanaonge ongea hapa mi nikawauliza kwan niiiini eti oh King'asti kaanzishiwa sredi .mi hata sikusema kitu!nikawa nimejikalia tu kimya.
 
Last edited by a moderator:

Shemeji unataka kunichonganisha na Paw? Ila King'asti amepata bahati ya kupata mwanafunz anayehtaji kufundishwa lugha
 
Last edited by a moderator:

Umekaa kimya kwa kumwonea huruma dogo au unasaidia kumwombea kwa mhusika ili jibu lipatikane haraka...

Nimeamini kwamba kuna watu hawana huruma,

Hivi mtoto wa mwenzio siyo mwanao??

Kwa nini unamwacha mwana wa mwenzio anasota 48hrs bila kura wala kurara??

Babu DC!!
 
Ni vitu viwili tu vitutambulishavyo JF...
1. Avatar
2. ID
Sasa huwa napata sana tabu mtu atongozaye hivyo vitambulisho viwili maana the bottomline yajulikana vyote ni feki.

Tatizo ni nini mdogo wangu?

Mbona watu kibao wameanzia hapo na sasa wanadunda maisha....

Msimkatishe tamaa mwenzenu..

Babu DC!!
 

Intelijensia imeonesha kuwa snowhite ameamua kumzeveza King'asti kwa PM ili jibu murua litolewe either kwa PM au hadharani. Ukimya wa asiyekura na kurara waweza kuwa ishara ya majibu mazuri toka kwa King'asti. Majibu na maridhiano yanatendeka kwa siri kubwa kutokana na ukali na umwamba wa Paw.
 
Last edited by a moderator:
Ni vitu viwili tu vitutambulishavyo JF...
1. Avatar
2. ID
Sasa huwa napata sana tabu mtu atongozaye hivyo vitambulisho viwili maana the bottomline yajulikana vyote ni feki.

wewe mbona id fake na avatar feki ila mm nakuzimikiajeee!!! ooopss nilisahau kama we shem wangu... hisia hazina adabu.
 
ma mkwe upo juuu!!!! pamoja na uzee wote huo bado wanakumezea mate...!!!!


Uzee wake umeupima kwa kutumia nini?

Mbona yeye mwenyewe hajasema kuwa ni kikongwe?

Au na wewe umeingia dili la kutaka kumuua mwenzenu kwa njaa na usingizi??

Babu DC!!
 
Uzee wake umeupima kwa kutumia nini?

Mbona yeye mwenyewe hajasema kuwa ni kikongwe?

Au na wewe umeingia dili la kutaka kumuua mwenzenu kwa njaa na usingizi??

Babu DC!!

mkwe wangu mtoto wa mjini hawezi kufa nja. ngoja niattach birth certificate yake ndo uone kuwa sidanganyi.... mtoto wake ambae ni x husb wangu ni mara 3 ya umri wangu halaf mi mwenyewe nacheza kwenye 30 huko.. unafikiri King'asti atakuwa na umri gani? think babu.. think.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…