Eti kuchambua sentensi kwa njia ya matawi ikupe hivi vitu sahau

Eti kuchambua sentensi kwa njia ya matawi ikupe hivi vitu sahau

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Three suitors one husband
Atino
Things fall apart
Hawa the bus drive
Mabala the farm
Ngoswe penzi kitovu cha uzembe
Hayo yote hayawezi kukupa vitu hii
Armored_Rolls_Royce_Phantom_2af694d966.png

Roll royce

948cbdb1842e494cab4670a3cad68494.jpg

Aston martin
hapa ata uajiriwe mpaka unakupa huwezi pata vitu kama hivi

Bugatti_Chiron_1(0).jpg

Bugatti
 
Samahani mkuu Hilo swali muulize mama yako kipindi Dunia Haina uelewa kuhusu mwanamke ana mengi ya kukusimulia mkuu

Fullstop, kwishaaa
Leta hoja hayo mambo mengi yamekusaidia nini,hkn mtu anaesoma ili abaki masikini na wazazi wanajua ukisoma utawasaidia haya mpaa sasa kuna dalili za kumiliki hata range tu🤣🤣
 
Tunaondoaga ujinga toka enzi za ukoloni na bado tunakuja kuongozwa na vilaza maan yake nini ??
Sisi hatuongozwi na vilaza na vilaza hawana uwezo wa kuongoza watu

Labda ulitaka kumaanisha kutawaliwa ? Wanasiasa wanatawala Ila nchi haiongozwi na wanasiasa Ila inaongozwa na wataalamu ambao hufanya Kazi zao na Serikali.
 
hao wataalamu wako wapi nchi inaelekea kuzimu hii
 
Back
Top Bottom