Eti kuchambua sentensi kwa njia ya matawi ikupe hivi vitu sahau

Tunaondoaga ujinga toka enzi za ukoloni na bado tunakuja kuongozwa na vilaza maan yake nini ??
Maana yake wewe ni kilaza zaidii, wapi walikuambia vitabu hivyo vitakupa range au pesa? Themes ya vitabu hivyo mbona inajieleza wazi au ww ulikua unakaa chooni wakati wenzako wanasoma .
 
Sikushangai ndo akili ZETU waafrika kubadili adhima ya jambo Fulani

Fullstop kwishaaaa
mkoloni ni master mind sana sasa kama hawa wanaotuongoza ndo wasomi 😁😁😁😁 wakusena deni la taifa lisomwe kwa dollar sio TZS utadhani litapungua ni upopoma
 
Sasa hizo ni changamoto za mtu binafsi mi nilimanisha changamoto za jamii hayo ni MAAMUZI binafsi si ya jamii mkuu sijui umeni ELEWA

Mzungu anaendelea kukutawala na wewe kifikra kuaminu hayo Magari ndo maisha and you can't afford it .

Means mzungu ame monetize ujinga wako
 
Sasa hizo ni changamoto za mtu binafsi mi nilimanisha changamoto za jamii hayo ni MAAMUZI binafsi si ya jamii mkuu sijui umeni ELEWA

Fullstop kwishaaaa
Siwezi kuelewa na sitoelewa vitu vya hovyo wanaomiliki hitu hivyo hata hawakijui ngoswe and mabala kinafanana vipi cabbage dam shit
 
Mkuu hayo ni mafanikio sasa unayo zungumzia mbona huwasemei wale maskini ambao hawakusoma na wanajutia kuikosa elimu walau Inge wakomboa

Fullstop, kwishaaaa
 
Hakuna cha kupanua uelewa wala nini babu zetu hawakusom ila wanauelewa mkubwa sana tusidabganyane uelewa
 
Back
Top Bottom