"Kwenye hustler zako??"Nafasi ya mwanamke imekusaidia nini wewe kwenye hustler zako??
We faraasi kwani gari ni buggati peke yake yake? Nina gari tatu zinanitosha sana! Pick up ya harakati,Rav 4 ya kutembelea mimi na Mitsubishi ya wife!! Nina amani zangu na nilinunua kwa hela zangu! Jifunze kutofautisha mambo lofa wee...Sawa nimekariri ay wewe ulieelewa hio bugatti unanununa lini ??🤣
Unajua kwanini ulifundishwa kusoma, kuandika na hesabu?Three suitors one husband
Atino
Things fall apart
Hawa the bus drive
Mabala the farm
Ngoswe penzi kitovu cha uzembe
Hayo yote hayawezi kukupa vitu hii
View attachment 3464095
Roll royce
View attachment 3464099
Aston martin
hapa ata uajiriwe mpaka unakupa huwezi pata vitu kama hivi
View attachment 3464128
Bugatti
Una uhakika alipewa hizo hela??Abdulrazak Gurnah, mwandishi kutoka Tanzania aliyezaliwa Zanzibar, alishinda Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka 2021. Gurnah ni maarufu kwa riwaya zake zinazochunguza maisha ya watu wa Afrika Mashariki, hasa athari za ukoloni na changamoto za wakimbizi. Baadhi ya vitabu vyake vinavyosifika ni Paradise, By the Sea, Desertion, na Afterlives.
Tuzo ya Nobel aliyoshinda ilikuwa na thamani ya 10 milioni SEK, sawa na takribani TZS bilioni 36.
Vizuri umetambua hilo. Utajiri wa namna hiyo hauna uhusiano na usomi.Ni yale yale tu
kwamba ambao hawakuchanganua hzo sentensi hawawezi kuchanganua akili zao kupt vitu hivyo??Maisha yetu ni uchanganuzi tosha. Utumie akili hadi sentensi ichanganuke ndio umiliki vitu hivyo na zaidi. Hilo ndilo lengo la elimu uliyoipata.
Niwewe tu ndugu mbona kuna watu wanatafsiri tu kingereza kwenda kiswahili hapo upwork na wana uwezo wakupata bilion ndani ya miaka 5 huyo mtu akifanya kazi miaka 15 atashindwa kununua gari kali ? Wapo pia waalimu wa kiswahili nje wanalipwa milion 30 kwa mwezi huyu akipambana miaka kadhaa atashindwa kupata gari kali? Kwa upande fulani upo sahihi waajiriwa wote hata kama ulisoma somo gani kupata fedha nyingi ningumu,Three suitors one husband
Atino
Things fall apart
Hawa the bus drive
Mabala the farm
Ngoswe penzi kitovu cha uzembe
Hayo yote hayawezi kukupa vitu hii
View attachment 3464095
Roll royce
View attachment 3464099
Aston martin
hapa ata uajiriwe mpaka unakupa huwezi pata vitu kama hivi
View attachment 3464128
Bugatti
upwork mambo ya freelance, kwa elimu ya bongo nyoso hii kupata mwajiri akuachie kazi ni bht sana lbd upmbne kingineNiwewe tu ndugu mbona kuna watu wanatafsiri tu kingereza kwenda kiswahili hapo upwork na wana uwezo wakupata bilion ndani ya miaka 5 huyo mtu akifanya kazi miaka 15 atashindwa kununua gari kali ? Wapo pia waalimu wa kiswahili nje wanalipwa milion 30 kwa mwezi huyu akipambana miaka kadhaa atashindwa kupata gari kali? Kwa upande fulani upo sahihi waajiriwa wote hata kama ulisoma somo gani kupata fedha nyingi ningumu,
Imesaidia kujua kwenye maendeleo inatakiwa na mwanamke mwenye akili awepoNafasi ya mwanamke imekusaidia nini wewe kwenye hustler zako??