Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 26,829
- 38,912
Kwanza Muulize ana tofauti gani katika kuongea na mtu ambae hajafika hata la kwanza?
Wewe toka uvisome vimekusaidia nini?
Wewe toka uvisome vimekusaidia nini?
Primitive sanaWazungu wajnja wanarisisha watoto vipaji sio hayo mabala the farmer kwnz mashamba menyewe yatoke wapi
Angalia profile za watu zilivyoshiba dollar😆upwork mambo ya freelance, kwa elimu ya bongo nyoso hii kupata mwajiri akuachie kazi ni bht sana lbd upmbne kingine
Not wastage of time, bado msomi ni msomi tu ila kubwa tajiri mkubwa at the same time msomi sio rahisi labda uwe mwanasiasa (kiafrika)Kwaio ni wastage of time na resource tu
Sasa kama hujui hata vitabu ulivyosoma vinakusaidia nn ? Wewe kweli ulisoma au ulienda kukua?Wewe toka uvisome vimekusaidia nini?
Ndio alipewaUna uhakika alipewa hizo hela??