Eti kuchambua sentensi kwa njia ya matawi ikupe hivi vitu sahau

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Three suitors one husband
Atino
Things fall apart
Hawa the bus drive
Mabala the farm
Ngoswe penzi kitovu cha uzembe
Hayo yote hayawezi kukupa vitu hii

Roll royce


Aston martin
hapa ata uajiriwe mpaka unakupa huwezi pata vitu kama hivi


Bugatti
 
Wewe toka uvisome vimekusaidia nini?
Lugha YANGU ime improve kupitia vitabu kama mabala the farmer, Hawa the bus driver pia tulikua tunajifunza mambo mbalimbali kwenye jamii kama nafasi ya mwanamke kwenye jamii


Fullstop, kwishaaaa
 
Samahani mkuu Hilo swali muulize mama yako kipindi Dunia Haina uelewa kuhusu mwanamke ana mengi ya kukusimulia mkuu


Fullstop, kwishaaa
Leta hoja hayo mambo mengi yamekusaidia nini,hkn mtu anaesoma ili abaki masikini na wazazi wanajua ukisoma utawasaidia haya mpaa sasa kuna dalili za kumiliki hata range tu🤣🤣
 
Tunaondoaga ujinga toka enzi za ukoloni na bado tunakuja kuongozwa na vilaza maan yake nini ??
Sisi hatuongozwi na vilaza na vilaza hawana uwezo wa kuongoza watu

Labda ulitaka kumaanisha kutawaliwa ? Wanasiasa wanatawala Ila nchi haiongozwi na wanasiasa Ila inaongozwa na wataalamu ambao hufanya Kazi zao na Serikali.
 
Sisi hatuongozwi na vilaza na vilaza hawana uwezo wa kuongoza watu

Labda ulitaka kumaanisha kutawaliwa ? Wanasiasa wanatawala Ila nchi haiongozwi na wanasiasa Ila inaongozwa na wataalamu ambao hufanya Kazi zao na Serikali.
hao wataalamu wako wapi nchi inaelekea kuzimu hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…