Eti Mbowe alitoa laki 6 kufadhili ugaidi. Seriously?

Na
Gaidi anatumiwa salamu za rambirambi na raisi wa nchi wiki moja kabla ya kukamatwa kwake.
[emoji28][emoji28][emoji28],yaani Watanzania tumepatikana aisee
Na pia account zake zilifunguliwa Ili atoe elfu sitini ya kukuza Ugaidi 🤣🤣🤣🤣🤣 duu! Eee Mungu wangu. Tunajua lolote linaweza kutokea Tanzania hata Mbowe kufungwa na Sabaya kuachiwa huru ila Samia na genge lako la ccm mtakuwa mmeitumbukiza nchi yetu pendwa kwenye aibu kubwa na historia itawahukumu.

HIVI KWELI MAMA YETU SAMIA KUFADHILI UGAIDI KWA LAKI SITA? Nina amini Kama hauna mkono kwenye hili hata wewe mwenyewe umeshikwa na butwaaaaa😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁!!!!!!!
 
Huna akili
 
Cha kushangaza aliwaachia magaidi(kisa waislam_wazanzibar wenzake)
Bila haya anatuma mbowe akamatwe na kuthubutu kuitangazia dunia kwa kudanganywa na watu wasio na akili kina Siro.
Mpyuuuuuuuu[emoji33][emoji33]
 
Akili za viongozi wa sasa imekua kama tatizo la nguvu za kiume
 
Huyu malisa aunganishwe kwenye tuhuma za mbowe haraka anaonekana anajua mengi

USSR
USSR, are you a sadist? Neno sadist linamaanisha mtu ambaye anajisikia raha anapoona mwenzake anapata taabu, maumivu, anateseka. Katika jamii watu hao wapo.
Umependekeza Malisa aunganishwe kwenye tuhuma za Mbowe, yaani awekwe ndani, badala ya kumpongeza, kwa kujua mengi, kutufahamisha mengi.
Ikiwa ni kweli pia kama Alexander alivoelezea kumhusu Mdude, huenda pia kuna masadist ktk jeshi la polisi! Yaani:
Mtu hajawahi panda ndege, kasafiri kuja na madawa ya kulevya toka Pakistan, Ugaidi wa laki sita...nk Naamini tunahitaji watu wenye kutumia bongo zao badala ya uji kichwani kutuendeshea jeshi letu. Na katika mambo kama hayo, ushabiki wa kisiasa ni muhimu uwekwe pembeni. Mdude aliachiwa kwa sababu alibambikiwa kesi zisizo na kichwa wala miguu kwa sababu ya mawazo kama hayo. Ni hayo tu

Huyu malisa aunganishwe kwenye tuhuma za mbowe haraka anaonekana anajua mengi

USSR
 
We mwandishi ni mpumbavu sana....unaelewa laki sita inaweza kufadhili kitu kinachoweza kusababisha hasara ya mabilioni.....mtu akilipwa laki 1 akalipue matenki pale songas ubungo tutapata hasara kiasi gani? Unadhani ugaidi ni mpaka itajwe bilioni ndo ujue ni ugaidi? Pumbavu kabisa, kama hamajui mambo waachieni wenye taaluma ...non sense kabisa
 
Kabla ya Mbowe kusomewa mashtaka, watu waliipa Jamhuri "benefit of doubt" kwamba huenda ina ushahidi wa maana. Watu wakahisi labda Mbowe ana uhusiano na makundi ya kigaidi kama Al Shabab, Al Queda, Boko Haram etc na pengine anapeleka vijana huko kwa ajili ya mafunzo.
 
Gharama ya kugharamia ugaidi huwa ni shillingi ngapi? kisheria hata tsh 100 inaweza kutumika.

Hii sio logic tujaribu kujadili vya muhimu kwenye hiyo kesi ili tumnusuru Mh Mbowe..
 
Mtoa mada hujui nini maana ya ugaidi, na hijui nini maana ya crime. Kwa ufupi huna elimu ya kutosha.
 
Kama ugaidi unaweza kufadhiliwa kwa laki 6, basi nchi yetu ingekua na vikundi mengi sana ya kigaidi. Kwa mujibu wa ripoti ya BBC ya December mwaka jana, Kundi la Al Shabab linakusanya zaidi ya $180M kama kodi kutoka kwa raia wa Somalia. Hizo ni sawa na TZS Bilioni 400. Pia wanapata ufadhili kutoka taasisi mbalimbali unaokadiriwa kufikia $900M kwa mwaka sawa na TZS 2.2 Trilioni.
 
Mashtaka ya leo yameonesha huenda serikali haikujipanga na kesi hii, na yamezidisha mashaka ya wale waliokua wakisema Mbowe amekamatwa kwa sababu za kisiasa ikiwemo kudai katiba mpya. Watu walitegemea hati ya mashtaka iliyosheheni "serious offence" za ugaidi, sio hiki kilichopelekwa mahakamani leo. Hata CCM wenyewe wamepigwa butwaa kusikia hizi tuhuma za Mbowe kufadhili ugaidi kwa laki 6.
 
Sasa kama aliweza kutiza watu waliokua kwenye "tention" kubwa kiasi kile akafanikiwa, angewezaje kupanga kuchoma moto vituo vya mafuta kwa sababu ya Sabaya? Halafu akishachoma yeye ndio anakuwa Mkuu mpya wa wilaya ya Hai? What a crap?
 
Ustaraabu wa Mbowe hauwezi kuitoa CCM Madarakani.CCM inahitaji watu wakorofi Ili kuondolewa.Wewe kila siku mtu wa kuonewa na kukaa kimya?.Ili CCM kuondolewa madarakani inahitajika siasa kama za kina Frelimo,ANC, SWAPO ,kina Museven ,Kagame and co.Ambapo waliungwa mkono na CCM ya Nyerere.Maneno matupu hayawezi watoa CCM madarakani.CCM wanajua wanachokifanya!Eti Mbowe amekuwa gaidi,uduanzi gani huu?
Mimi nikisikia serikali yeyote ya nchi za Africa imepinduliwa huwa siwalaumu wapinduaji sababu ya uduanzi kama huu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…