Lakini mimi kilochoniponza ni Sangara lakini yule nilimpenda kwa dhati sema nilipeleka Samaki Bukavu DRC nilipofika Rwanda tena nikazama kwenye Mapenzi na Msichana wa Kinyaruanda 😂😂😂😂Na huenda kweli umeacha alama..duh..wanawake tuna kazi sn
Yaani ilikuwa iwe hit n run lakini yule Mtoto alihamia kwenye kambi niliyokodisha ya wavuvi
Yaani Asubui wavuvi wakileta Sangara wanapasuliwa na kupakaliwa chumvi na kuanikwa juani
Yeye nae anaenda sokoni kuhemea akirudi Ugali unapikwa tunasikiliza redio kidogo Story nyiingi tunaingia chumbani nampelekea moto halafu usiku ndio kazi kazi
Tena wana Omega3 ya kutosha hata kuliko Sato.Hahaa sangara wanaongeza libido mzee,
Na yeye alikuwa anafurahia tendo na alikuwa na miaka ishirini tu kuna kipindi niliugua malaria akaenda kunitafutia muarobaini akauchemsha nikawa nakunywa siku mbili tu nikarudi kwenye hali yanguNimeamini ww umeishi huku...wanapenda sn kutumia neno KUHEMEA🤣🤣🤣..mwanzoni nikawa naona kichekesho wakiongea mie nacheka balaa..hhaha anahemea..!maisha ya hvyo raha sn..ila possibles za kupata mimba ni kubwa..maana mwili unakuwa umerelax na.lazima unenepe🙋.huna hili wala lile...!sio kukariri tu ...lols
Yaan wewe mzee baba umetuwakilisha vyema sana kitaifa..lakini nakukumbusha tu una watoto wawili had sasa👯Lakini mimi kilochoniponza ni Sangara lakini yule nilimpenda kwa dhati sema nilipeleka Samaki Bukavu DRC nilipofika Rwanda tena nikazama kwenye Mapenzi na Msichana wa Kinyaruanda 😂😂😂😂
Ushawai kula ngogo dada na sulu sulu unatafuna hadi mfupa ndipi je na mlamu kaliandiliSamaki wote wa ifakara ni tasteless...yaan km unatafuna godoro..hyo miba sasa..mimi nilishawashindwa
Yaan wewe mzee baba umetuwakilisha vyema sana kitaifa.. lakini nakukumbusha tu una watoto wawili hadi sasa👯Lakini mimi kilochoniponza ni Sangara lakini yule nilimpenda kwa dhati sema nilipeleka Samaki Bukavu DRC nilipofika Rwanda tena nikazama kwenye Mapenzi na Msichana wa Kinyaruanda 😂😂😂😂
Ushawai kula ngogo dada na sulu sulu unatafuna hadi mfupa ndipi je na mlamu kaliandili
Namba 3 hata hubby ananiambiaga huo ujinga..sijji nan amewadanganya..yaan mi ccm bwana😎
Rwanda ninao wawili ila ningependa ningependa nijue huko kisiwani sijui kama yuko hai sijui ameshatangulia mbele kwa kweli sijui.Yaan ww mzee baba umetuwakilisha vyema sn kitaifa..lakini nakukumbush tu una watoto wawili had sasa👯
Labda hajafika kwingine akaona
Rwanda ninao wawili ila ningependa ningependa nijue huko kisiwani sijui kama yuko hai sijui ameshatangulia mbele kwa kweli sijui.
HatariiiKama aliyekuambia ni mluguru au mkaguru usimwamini, hao watu kila kitu kwao ni kikubwa, kwa masikio yangu nimewasikia wakisema
- Mindu ndiyo bwawa kubwa kuliko yote Afrika Mashariki na Kati
- Round about ya Msamvu ndiyo kubwa kuliko zote Afrika Mashariki na Kati
- Stand ya Msamvu ndiyo kubwa kuliko zote Afrika Mashariki na Kati
- Mlima Uluguru ndiyo wa pili kwa urefu katika Afrika Mashariki baada ya Kilimanjaro
- Morogoro ndiyo inaongoza kuwa na vyuo vikuu vingi Tanzania
- Morogoro ndiyo inaongoza kwa kutoa wachezaji nyota Tanzania (sina uhakika)
- Na sasa Morogoro ndiyo yenye samaki wakubwa kuliko wa ziwa Victoria
- Very soon watawaingiza wahanga wa lory la mafuta kwenye records (tusubiri)
Wakike nilizaa na Binti mmoja huko Butare wakiume nilizaa na Binti mwingine wa Kigali.Kamaunaye wa kike huko Rwanda tafadhari ninaomba kufanya booking mapeemaa uwe mkwilima🤦!
Wakike nilizaa na Binti mmoja huko Butare wakiume nilizaa na Binti mwingine wa Kigali.
Well wa kike nasikia ana mchumba na natarajia kwenda Rwanda baada ya Krismasi nitakaa kigali Wiki moja halafu nitaenda Butare tuombe uhai
Lafudhi za Waluguru hizoMologolo=Morogoro,
Biharamulo natarajia kwenda wiki ijayo nikifika huko nitakukumbusha unielekeze niulizie katika hicho kijiji siwezi kuuliza direct nitauliza kwa njia za panya ili nisihatarishe usalama wa mama na mtoto.Yule binti aliniambia wazazi wake wako Biharamulo na ndio kwao
Sasa muda mwingi sana umepita ilikuwa awamu ya tatu wakati Raisi Ben Mkapa
Ninaweza kwenda leo kumtafuta nikakuta mtoto kabambikiwa mtu mwingine
Tena pale kisiwani kulikuwa na Wakurya wengi na Wajaluo mchanganyiko na Wasukuma na Wazinza
Ila nilikiwa nikiambiwa Wakurya wengi ni wale Majambazi yaliyokuwa yamekimbia Mwanza yamekuja visiwani kwa sababu kulikuwa hakuna hata kituo cha Polisi
Sasa leo nikirudi nikute yule Binti kaolewa na na Mkurya na kambambikia mimba
Nitasambabishia Mama wa watu asanangwe na mapanga
Mimi mwenyewe niliishi kibabe tu pale Kisiwani
Ila iko Siku nitapita Bihamulo nilimdadisi sana mpaka akaniambia jina la Ukoo wake
Aisee utakuwa ilikuwa kijana mbichiLakini mimi kilochoniponza ni Sangara lakini yule nilimpenda kwa dhati sema nilipeleka Samaki Bukavu DRC nilipofika Rwanda tena nikazama kwenye Mapenzi na Msichana wa Kinyaruanda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]