Eti ni kweli wadada humu tumepauka?

Mtu umepishana naye kidogo tuu humu, anakuambia Una linga na hizo mali zako? Unafika nyumbani vikuku vyako vyote vimekufa?, kuku wamekukosea nini?
Mbavu zangu mimi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Utafiti nilioufanya kwenye mitandao ya kijamii ni kuwa, wadada warembo huwa ni watulivu sana mitandaoni. Huwezi wakuta wakitukana, wakigombana au wakiwa wamecharuka hovyo.

Sasa mjikadirie wenyewe wakuu.
 
Kabisaa jirani utakua na sonona iliopitiliza [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwakweli๐Ÿค—,, maana hapa nilipo nimebana mbavu zangu na mkanda zisije zikachomoka๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Utafiti nilioufanya kwenye mitandao ya kijamii ni kuwa, wadada warembo huwa ni watulivu sana mitandaoni. Huwezi wakuta wakitukana, wakigombana au wakiwa wamecharuka hovyo.

Sasa mjikadirie wenyewe wakuu.
๐Ÿคฃ
 
Uongo napinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ