Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Sitaki kuamini kuwa humu wanaume hamna madorali eti?
Hahahah mbona mimi najua kuna watu wanapesa na madorali lakini napata malalamiko kuwa hamna pesaa?

Hebu watokeee member wa5 wa kiume wanithibitishie muamala kwenye account yangu ya bank leooo niamini kweli Jf kuna matajiri wengi na hamna mbwembwe.

Najua wale wenye maneno mengi hata hawamiliki Account za Benki hata chapchap ya NMB hawana.

Leo tunapinga kwa vitendo siyo maneno jamani mimi siwezi kuwasifia mna madorali wakati hata sina uthibitisho wa muamala wa madorali.

Msipothibitisha basi wanaume wa Jf ni makapuku sitaki kuamini na nyie mnakubali hamna helaa aiseee hebu nikomesheni kwa kunitumia madorali ili watu wajue matajiri mapedesheee yapo Jf.

Najua matajiri wapo wengi Jf muwe na jumapili njema hakika msipothibitisha kuanzia leo wanaume wote wa Jf ni makapuku kasoro mganga wangu Jr.

Ni pm namba zako za simu na account zako zote nikujazie madorali
 
Nimeweka hadi ng'ombe wa urithi tunda liliwe!. usichezee Apple ati!..🙂
kwakweli " achana na apple mkuu sio kitu ya mchezo" mugabe alitaka kuhonga nchi kwaajili ya hiyo kitu
 
Sitaki kuamini kuwa humu wanaume hamna madorali eti?
Hahahah mbona mimi najua kuna watu wanapesa na madorali lakini napata malalamiko kuwa hamna pesaa?

Hebu watokeee member wa5 wa kiume wanithibitishie muamala kwenye account yangu ya bank leooo niamini kweli Jf kuna matajiri wengi na hamna mbwembwe.

Najua wale wenye maneno mengi hata hawamiliki Account za Benki hata chapchap ya NMB hawana.

Leo tunapinga kwa vitendo siyo maneno jamani mimi siwezi kuwasifia mna madorali wakati hata sina uthibitisho wa muamala wa madorali.

Msipothibitisha basi wanaume wa Jf ni makapuku sitaki kuamini na nyie mnakubali hamna helaa aiseee hebu nikomesheni kwa kunitumia madorali ili watu wajue matajiri mapedesheee yapo Jf.

Najua matajiri wapo wengi Jf muwe na jumapili njema hakika msipothibitisha kuanzia leo wanaume wote wa Jf ni makapuku kasoro mganga wangu Jr.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Watu wasionijua wanapata tabu sana
Nashukuru wewe wanijua hivyo hupati shida.
 
Back
Top Bottom